Milioni 70 inatosha kufungua Pharmacy ya jumla jijini Dodoma?

Milioni 70 inatosha kufungua Pharmacy ya jumla jijini Dodoma?

Usihangaike na mikoa kama Dodoma nenda mikoa kama Singida,Katavi,Iringa,Tabora au Sumbawanga. Fungua Pharmacy yako ya maana tegesha location nzuri thank me later, hio mikoa niliyo kuandikia hapo bado haija endelea sana unaenda kua digala top kabisa mkoa mzima. Imagine una fungua Pharmacy kubwa kama ya Nakiete au Premier Care pharmacy aisee lazima uwe tajiri 😀
 
Kafungue kariakoo halafu uza Jumla hiyo hela inatosha, Dodoma haitokulipa mzunguko mdogo naongea kwa uzoefu.

Pharmacy jumla kariakoo inalipa ndo maana sasa hivi wakina Robby One wakina Vunja wako huko!!
Sahihi kabisa
 
Wengine Tupo kwenye gemu la dawa muda Sasa Kuna mengi tunayajua kwa ku dedicate muda na subra + working hard spirit bila kumsahau mwenyezi Mungu..

Kuna kipindi jina lilikua kubwa Sana dsm ninayo team uki iweka hiyo 70m una transform life forever..naijua industry in and out kuanzia brands za dawa na everything kwenye hii industry

Wewe utadili na PESA na mizigo customer base ma strategies nakuhakikishia utaiona faida ie. Nina customer base ya ku sale not less than 50m cash monthly...

Kwa Sasa natamani ku change environment nipo kwenye organization moja kwenye management team natamani kuchange environment

Kama upo seriously nicheki tunaweza fanya kitu Raman ya vita yote ninayo ni ku copy na paste..
 
Kafungue kariakoo halafu uza Jumla hiyo hela inatosha, Dodoma haitokulipa mzunguko mdogo naongea kwa uzoefu.

Pharmacy jumla kariakoo inalipa ndo maana sasa hivi wakina Robby One wakina Vunja wako huko!!
Umeeleza vizuri sana.
 
Renovation 20ml? 😨
ndio, imejumuisha kodi ya mwaka, shelves zenye hadhi ya pharmacy, maboresho ya chumba kwa ndani na nje na hapo jua sio chumba kimoja, lazima kuwe na kachomba ka ndani (store) na mambo mengine. hapo tunaongelea pharmacy sio ya kuuza rejereja, ni ile ya jumlajumla. inatakiwa kuwa na hadhi ya hali ya juu ama la itakuwa sawa na za rejareja au duka la dawa muhimu tu.
 
Kafungue kariakoo halafu uza Jumla hiyo hela inatosha, Dodoma haitokulipa mzunguko mdogo naongea kwa uzoefu.

Pharmacy jumla kariakoo inalipa ndo maana sasa hivi wakina Robby One wakina Vunja wako huko!!
Kariakoo pale kwa wazito. Wale wenye mitaji mikubwa. Wengi ni importers - yani huagiza dawa moja kwa moja toka nje ya nchi au kiwandani. Kwa milioni sabini ndogo haitoshi kununua dawa kiwandani moja kwa moja ili ushindani na wenzako. Tutafuta location ya nje ya mji wewe ndio uwe nyngumi huku.
Ukihitaj cheti na huduma ya mfamasia nichek PM
 
Back
Top Bottom