Milioni 70 inatosha kufungua Pharmacy ya jumla jijini Dodoma?

HabarI wakuu,

kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mil 70 inatosha kufungua pharmacy ya jumla location Dodoma
HabarI wakuu,

kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mil 70 inatosha kufungua pharmacy ya jumla location Dodoma?
Nami Moja kwa moja ktk jibu (Sory mm si mwandishi mzuri) Mtaji ulonaonunatosha kufanya biashara tajwa popote lkn ili kufanikiwa nenda pahala ambapo hautokabiliwa na upinzaninmkubwa 2. Dhamilia kutolazimika kutumbukiza pesa yote katika awamu ya kwanza, hata kama mambo yakionekana kuwa mazuri jidhibiti kushambulia soko kwa nguvu mno, jipe muda kujifunza. Usalama wa biashara yako ni pesa taslimu. Kwa uzoefu wangu unaweza kupanga kila kitu vizuri lkn kuna mambo yasiyotarajiwa huweza kuibuka… ili kukabiliana na changamoto yeyote utakuwa jasiri na salama tu ukiwa na pesa.
Pesa uliyonayo si nyingi kama utakurupuka
 
Wengine Tupo kwenye gemu la dawa muda Sasa Kuna mengi tunayajua kwa ku dedicate muda na subra + working hard spirit bila kumsahau mwenyezi Mungu..

Kuna kipindi jina lilikua kubwa Sana dsm ninayo team uki iweka hiyo 70m una transform life forever..naijua industry in and out kuanzia brands za dawa na everything kwenye hii industry

Wewe utadili na PESA na mizigo customer base ma strategies nakuhakikishia utaiona faida ie. Nina customer base ya ku sale not less than 50m cash monthly...

Kwa Sasa natamani ku change environment nipo kwenye organization moja kwenye management team natamani kuchange environment

Kama upo seriously nicheki tunaweza fanya kitu Raman ya vita yote ninayo ni ku copy na paste..
Mtoa mada ajiadhari nawewe kwani unaweza kumpoteza kwakukusudia au bila kukusudia.. Kama dhamira ikiwa ninkuuza 50M kwa mwezi afu Kariakoo hiyo ni hasara. Lkn pia 70M hata akiwa na jengo lenye miundombinu tayari kwa 70M hawezi kukidhi soko.. sipajui Dododoma lkn napachukulia kama pahala ambapo hapana ushindani mkubwa hivyo pahala pa hivyo ni chaguo sahihi kwani atawalenga zaidi watu wa DLDM hivyo hatolazimika kuwa na aina nyingi za dawa. Lkn pia anaweza kuuza rejareja pia
 
Kupitia huu Uzi Kuna ambao nimewasiliana nao na wamesha anza business na wanafanya vizuri.
NB.
The blood supply in your penis is much greater than the blood supply ii your brain 🧠
Uzi mingine itoshe kuisoma na kupita kimya kimya kuliko kutoa ufafanuzi kudadavua na maoni negative.
 
Wengine Tupo kwenye gemu la dawa muda Sasa Kuna mengi tunayajua kwa ku dedicate muda na subra + working hard spirit bila kumsahau mwenyezi Mungu..

Kuna kipindi jina lilikua kubwa Sana dsm ninayo team uki iweka hiyo 70m una transform life forever..naijua industry in and out kuanzia brands za dawa na everything kwenye hii industry

Wewe utadili na PESA na mizigo customer base ma strategies nakuhakikishia utaiona faida ie. Nina customer base ya ku sale not less than 50m cash monthly...

Kwa Sasa natamani ku change environment nipo kwenye organization moja kwenye management team natamani kuchange environment

Kama upo seriously nicheki tunaweza fanya kitu Raman ya vita yote ninayo ni ku copy na paste..
kaka Dr am 4 real PhD can we talk serious about hii issue??.
 
Sasa kwani usifungue yako kiongozi??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
kaka mbona mna uliza maswali rahisi kwenye, kitabu chenye title ngumu??.

vipi Kama anayo, au Changamoto za mtaji??. au mpaka aseme nina pharmacy!!
""Kwa Sasa natamani ku change environment nipo kwenye organization moja kwenye management team natamani kuchange environment""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Back
Top Bottom