GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Muhimu ni gari liwe jipya, zero kilomita. Gari lolote linakubalika, cha msingi liwe la kutembelea.
Zingatia kwamba hiyo milioni thelathini inapaswa "kucover" gharama zote mpaka liwe tayari kuanza kutumika hapa Tanzania.
Japo hata magari "used" yanapofika hapa Tanzania yanakuwa "mapya", lakini linalokufikia likiwa jipya kabisa, kilomita sifuri, lina ladha yake ya "kipekee"
Milioni thelathini itatosha, hata kama ni IST?