Milioni thelathini itatosha kununua gari jipya Afrika Kusini?

Muhimu ni gari liwe jipya, zero kilomita. Gari lolote linakubalika, cha msingi liwe la kutembelea.

Zingatia kwamba hiyo milioni thelathini inapaswa "kucover" gharama zote mpaka liwe tayari kuanza kutumika hapa Tz.

Japo hata magari "used" yanapofika hapa Tz yanakuwa "mapya", lakini linalokufikia likiwa jipya kabisa, kilomita sifuri, lina ladha yake ya "kipekee"

Milioni thelathini itatosha, hata kama ni IST?
Haitoshi gari za south zikiwa zero km ni expensive
 
Muhimu ni gari liwe jipya, zero kilomita. Gari lolote linakubalika, cha msingi liwe la kutembelea.

Zingatia kwamba hiyo milioni thelathini inapaswa "kucover" gharama zote mpaka liwe tayari kuanza kutumika hapa Tz.

Japo hata magari "used" yanapofika hapa Tz yanakuwa "mapya", lakini linalokufikia likiwa jipya kabisa, kilomita sifuri, lina ladha yake ya "kipekee"

Milioni thelathini itatosha, hata kama ni IST?
unazungumzia gari jipya la dola 5,000? Sidhani kama kuna gari hilo.
Kumbuka kuna gharama za customs, kodi, na kadhalika ambazo ni asilimia mia au zaidi ya gharama za kununua gari.
 
Suzuki Tanzania walikuwa wanatangaza gari mpya kabisa ..Kwa Dola 11,000/...
Renault Tanzania Wana gari wanatangaza Kwa milioni 22 hivi mpya kabisa
 
Muhimu ni gari liwe jipya, zero kilomita. Gari lolote linakubalika, cha msingi liwe la kutembelea.

Zingatia kwamba hiyo milioni thelathini inapaswa "kucover" gharama zote mpaka liwe tayari kuanza kutumika hapa Tz.

Japo hata magari "used" yanapofika hapa Tz yanakuwa "mapya", lakini linalokufikia likiwa jipya kabisa, kilomita sifuri, lina ladha yake ya "kipekee"

Milioni thelathini itatosha, hata kama ni
Muhimu ni gari liwe jipya, zero kilomita. Gari lolote linakubalika, cha msingi liwe la kutembelea.

Zingatia kwamba hiyo milioni thelathini inapaswa "kucover" gharama zote mpaka liwe tayari kuanza kutumika hapa Tz.

Japo hata magari "used" yanapofika hapa Tz yanakuwa "mapya", lakini linalokufikia likiwa jipya kabisa, kilomita sifuri, lina ladha yake ya "kipekee"

Milioni thelathini itatosha, hata kama ni IST?
Nimeghairi kusema kitu!!🫢🫢🤔
 
Suzuki Tanzania walikuwa wanatangaza gari mpya kabisa ..Kwa Dola 11,000/...
Renault Tanzania Wana gari wanatangaza Kwa milioni 22 hivi mpya kabisa
Sijui kama Renault wamepata ujumbe wangu! Nitashukuru kama bei yao itarange hapo, 20-30mil, alau na mimi nimfanyie mama watoto kasuprise! Naamini kama hili litamfaa, kama bei haitavuka 30mil.
 
Attachments

  • Megane_Sedan_LFF_ph1_Thumbnail_320x200.png
    Megane_Sedan_LFF_ph1_Thumbnail_320x200.png
    148.4 KB · Views: 14
Ila Magari yanayozalisha south Africa japo ni Toyota lakini sio kama haya ya TZ! South awajawai zalisha Ballon ,vitz au IST[emoji16]Yes million 30 unaweza pata gari nzuri ata double cabins kama hii picha. Uzuri wake Kodi utakayolipa ipo chini( utalipa Sadc tax rates)ukiwa Johanesburg-Pretoria kuna mtaa unaitwa Church street. Kama upo Dar ni mtaa mrefuu kama vile toka faya mpaka Ubungo pale kwenye flyover) inasemekana ndo mtaa mrefu kuliko yote Duniani) Durban utapata Japanese made cars mpaka VItz na IST. Nimewai mpeleka mtu kununua gari kwenye hizo sehemu. Tukiwa Durban wakati tunakagua gari- ile yard ni kubwa sana na ina gari zaidi ya 5000! Unatembezwa na colora imekatwa ipo kibanda wazi[emoji23]tulipokuwa tunaongea kiswahili kumbe mafundi ni waTZ! Jamaa wakawa so happy wakatuwekea mafuta full tank.(pale wanawekaga 2-5 litters za kutoka mlangoni kisha uende Garage-Sheli ukajiwekee mafuta)Dogo akaendesha mpaka Comesa Lusaka- pale konda wa Tawaqal akalipush mpaka Nakonde Tunduma! Tunduma mdogo mdogo tunaitafuta Kitonga comfort fresh tu tukafika Dar(ila nasikia kwa sasa watakubebea mpaka Zimbabwe boder- Beit bridge -kisha ndo uendeshe by road kwa sababu ya majambazi. Hiyo 30M include all taxes mpaka unafika Dar
Mkuu kua serious gari kama hii model ya 2020 tena hilux double cabin unaipata kwa 30M?
 
Kwanini South Africa?
Umeuliza Rwanda kuhusu VW bei?
Je India?
India wanauza gari mpya bei nafuu kuliko Japan...

Halafu kama issue ni gari mpya Tu
Mbona hapa Tanzania wanauza Renault mpya kabisa haizidi milioni 22??
Milioni 22 ume-include kila kitu? ie. kodi na mazagazaga yake?
 
Wakisikia zipo Rwanda wanajua tunaziweza kumbe zipo pale kwa ajili ya cheap labour na baadhi ya magari kutafuta soko lake hapo ila mengi unakuta yanarudi kwao kuuzwa na mengine wanakopeshwa wafanyakazi wa Serikali ni kama Kilimo kwanza zilivyojaa Tanzania kwani ni za wachimbachumvi?
Tanzania kuna bidhaa ambazo zinazalishwa hapa nchini lakini huwezi kujua kwani zinakuwa-exported tu. Kuna jeans ambazo huwezi kuziona kwenye maduka yetu. Kuna chocolate ambazo huwezi kuziona huko mitaani. Kuna watu hawaelewi, wakisikia kwa mfano Iphone zinatengenezwa nchi fulani wanadhani ukienda huko unakuta ziko nafuu zaidi.
 
Upo sahihi Mkuu ni sawa na IPhone hapo China ingawaje viwanda vipo pale pale bei yake imesimama sana sio zile copy iPhone yenyewe..
 
Back
Top Bottom