Ila Magari yanayozalisha south Africa japo ni Toyota lakini sio kama haya ya TZ! South awajawai zalisha Ballon ,vitz au IST😁Yes million 30 unaweza pata gari nzuri ata double cabins kama hii picha. Uzuri wake Kodi utakayolipa ipo chini( utalipa Sadc tax rates)ukiwa Johanesburg-Pretoria kuna mtaa unaitwa Church street. Kama upo Dar ni mtaa mrefuu kama vile toka faya mpaka Ubungo pale kwenye flyover) inasemekana ndo mtaa mrefu kuliko yote Duniani) Durban utapata Japanese made cars mpaka VItz na IST. Nimewai mpeleka mtu kununua gari kwenye hizo sehemu. Tukiwa Durban wakati tunakagua gari- ile yard ni kubwa sana na ina gari zaidi ya 5000! Unatembezwa na colora imekatwa ipo kibanda wazi😂tulipokuwa tunaongea kiswahili kumbe mafundi ni waTZ! Jamaa wakawa so happy wakatuwekea mafuta full tank.(pale wanawekaga 2-5 litters za kutoka mlangoni kisha uende Garage-Sheli ukajiwekee mafuta)Dogo akaendesha mpaka Comesa Lusaka- pale konda wa Tawaqal akalipush mpaka Nakonde Tunduma! Tunduma mdogo mdogo tunaitafuta Kitonga comfort fresh tu tukafika Dar(ila nasikia kwa sasa watakubebea mpaka Zimbabwe boder- Beit bridge -kisha ndo uendeshe by road kwa sababu ya majambazi. Hiyo 30M include all taxes mpaka unafika Dar