GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
C.c Isanga familyMuhimu ni gari liwe jipya, zero kilomita. Gari lolote linakubalika, cha msingi liwe la kutembelea.
Zingatia kwamba hiyo milioni thelathini inapaswa "kucover" gharama zote mpaka liwe tayari kuanza kutumika hapa Tz.
Japo hata magari "used" yanapofika hapa Tz yanakuwa "mapya", lakini linalokufikia likiwa jipya kabisa, kilomita sifuri, lina ladha yake ya "kipekee"
Milioni thelathini itatosha, hata kama ni IST?
Hupati ila bajaji zipo pale kwa kanjibay yule mnyaturu wa SingidaMuhimu ni gari liwe jipya, zero kilomita. Gari lolote linakubalika, cha msingi liwe la kutembelea.
Zingatia kwamba hiyo milioni thelathini inapaswa "kucover" gharama zote mpaka liwe tayari kuanza kutumika hapa Tz.
Japo hata magari "used" yanapofika hapa Tz yanakuwa "mapya", lakini linalokufikia likiwa jipya kabisa, kilomita sifuri, lina ladha yake ya "kipekee"
Milioni thelathini itatosha, hata kama ni IST?
🤣🤣🤣Hupati ila bajaji zipo pale kwa kanjibay yule mnyaturu wa Singida
Unaleta utani jukwaani siyo?Muhimu ni gari liwe jipya, zero kilomita. Gari lolote linakubalika, cha msingi liwe la kutembelea.
Zingatia kwamba hiyo milioni thelathini inapaswa "kucover" gharama zote mpaka liwe tayari kuanza kutumika hapa Tz.
Japo hata magari "used" yanapofika hapa Tz yanakuwa "mapya", lakini linalokufikia likiwa jipya kabisa, kilomita sifuri, lina ladha yake ya "kipekee"
Milioni thelathini itatosha, hata kama ni IST?
Siyo utani mkuu.Unaleta utani jukwani siyo?
Mkuu ukifanikiwa kupata picha ya hyo ndinga iweke humu,kumbe kununua brand new inawezekana kabisaKwanini South Africa?
Umeuliza Rwanda kuhusu VW bei?
Je India?
India wanauza gari mpya bei nafuu kuliko Japan...
Halafu kama issue ni gari mpya Tu
Mbona hapa Tanzania wanauza Renault mpya kabisa haizidi milioni 22??
Mkuu ukifanikiwa kupata picha ya hyo ndinga iweke humu,kumbe kununua brand new inawezekana kabisa
Mkuu Asante kwa kuweka hii ya RenaultIngia Www.Renault.co.tz ...
Gari zuri jipya
Mkuu Asante kwa kuweka hii ya Renault
Vipi kuna aina zingine zinapatikana bongo
Natafuta Rav4 ya 2017 au 18 iwe hybrid sijui inaweza kuwa ngapi
Nashukuru mkuu. Nimecheki ila sijaona kipengele cha bei. Nimekosea wapi?Ingia Www.Renault.co.tz ...
Gari zuri jipya
Mkuu Asante kwa kuweka hii ya Renault
Vipi kuna aina zingine zinapatikana bongo
Natafuta Rav4 ya 2017 au 18 iwe hybrid sijui inaweza kuwa ngapi
Bei walitangaza kabisa nafikiri kwenye page Yao ya Instagram...Ila unaweza watumia email kuuliza gari bei zao watakujibu....Nashukuru mkuu. Nimecheki ila sijaona kipengele cha bei. Nimekosea wapi?
Shukran sana mkuu.Bei walitangaza kabisa nafikiri kwenye page Yao ya Instagram...Ila unaweza watumia email kuuliza gari bei zao watakujibu....
Ila Magari yanayozalisha south Africa japo ni Toyota lakini sio kama haya ya TZ! South awajawai zalisha Ballon ,vitz au IST😁Yes million 30 unaweza pata gari nzuri ata double cabins kama hii picha. Uzuri wake Kodi utakayolipa ipo chini( utalipa Sadc tax rates)ukiwa Johanesburg-Pretoria kuna mtaa unaitwa Church street. Kama upo Dar ni mtaa mrefuu kama vile toka faya mpaka Ubungo pale kwenye flyover) inasemekana ndo mtaa mrefu kuliko yote Duniani) Durban utapata Japanese made cars mpaka VItz na IST. Nimewai mpeleka mtu kununua gari kwenye hizo sehemu. Tukiwa Durban wakati tunakagua gari- ile yard ni kubwa sana na ina gari zaidi ya 5000! Unatembezwa na colora imekatwa ipo kibanda wazi😂tulipokuwa tunaongea kiswahili kumbe mafundi ni waTZ! Jamaa wakawa so happy wakatuwekea mafuta full tank.(pale wanawekaga 2-5 litters za kutoka mlangoni kisha uende Garage-Sheli ukajiwekee mafuta)Dogo akaendesha mpaka Comesa Lusaka- pale konda wa Tawaqal akalipush mpaka Nakonde Tunduma! Tunduma mdogo mdogo tunaitafuta Kitonga comfort fresh tu tukafika Dar(ila nasikia kwa sasa watakubebea mpaka Zimbabwe boder- Beit bridge -kisha ndo uendeshe by road kwa sababu ya majambazi. Hiyo 30M include all taxes mpaka unafika DarMuhimu ni gari liwe jipya, zero kilomita. Gari lolote linakubalika, cha msingi liwe la kutembelea.
Zingatia kwamba hiyo milioni thelathini inapaswa "kucover" gharama zote mpaka liwe tayari kuanza kutumika hapa Tz.
Japo hata magari "used" yanapofika hapa Tz yanakuwa "mapya", lakini linalokufikia likiwa jipya kabisa, kilomita sifuri, lina ladha yake ya "kipekee"
Milioni thelathini itatosha, hata kama ni IST?
Thanks again mkuuKuna Toyota Urban cruiser..nayo ni kama Rav4 Tu zipo hybrid na bei nzuri... unaweza pata pale international motors au ukaagiza kutoka India...
Hii urban cruiser hybrid ipo ya India Tu..
Japan hawana hybrid version
Thanks again mkuu
Bei vipi ya miaka ya chini ya 8 ili kulipa ushuru kidogo