Milioni thelathini itatosha kununua gari jipya Afrika Kusini?

Haitoshi gari za south zikiwa zero km ni expensive
 
unazungumzia gari jipya la dola 5,000? Sidhani kama kuna gari hilo.
Kumbuka kuna gharama za customs, kodi, na kadhalika ambazo ni asilimia mia au zaidi ya gharama za kununua gari.
 
unazungumzia gari jipya la dola 5,000? Sidhani kama kuna gari hilo.
Kumbuka kuna gharama za customs, kodi, na kadhalika ambazo ni asilimia mia au zaidi ya gharama za kununua gari.

Suzuki Tanzania walikuwa wanatangaza gari mpya kabisa ..Kwa Dola 11,000/...
Renault Tanzania Wana gari wanatangaza Kwa milioni 22 hivi mpya kabisa
 
Nimeghairi kusema kitu!!🫢🫢🤔
 
Suzuki Tanzania walikuwa wanatangaza gari mpya kabisa ..Kwa Dola 11,000/...
Renault Tanzania Wana gari wanatangaza Kwa milioni 22 hivi mpya kabisa
Sijui kama Renault wamepata ujumbe wangu! Nitashukuru kama bei yao itarange hapo, 20-30mil, alau na mimi nimfanyie mama watoto kasuprise! Naamini kama hili litamfaa, kama bei haitavuka 30mil.
 
Attachments

  • Megane_Sedan_LFF_ph1_Thumbnail_320x200.png
    148.4 KB · Views: 14
Mkuu kua serious gari kama hii model ya 2020 tena hilux double cabin unaipata kwa 30M?
 
Kwanini South Africa?
Umeuliza Rwanda kuhusu VW bei?
Je India?
India wanauza gari mpya bei nafuu kuliko Japan...

Halafu kama issue ni gari mpya Tu
Mbona hapa Tanzania wanauza Renault mpya kabisa haizidi milioni 22??
Milioni 22 ume-include kila kitu? ie. kodi na mazagazaga yake?
 
Tanzania kuna bidhaa ambazo zinazalishwa hapa nchini lakini huwezi kujua kwani zinakuwa-exported tu. Kuna jeans ambazo huwezi kuziona kwenye maduka yetu. Kuna chocolate ambazo huwezi kuziona huko mitaani. Kuna watu hawaelewi, wakisikia kwa mfano Iphone zinatengenezwa nchi fulani wanadhani ukienda huko unakuta ziko nafuu zaidi.
 
Upo sahihi Mkuu ni sawa na IPhone hapo China ingawaje viwanda vipo pale pale bei yake imesimama sana sio zile copy iPhone yenyewe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…