Milioni thelathini itatosha kununua gari jipya Afrika Kusini?

Kwanini South Africa?
Umeuliza Rwanda kuhusu VW bei?
Je India?
India wanauza gari mpya bei nafuu kuliko Japan...

Halafu kama issue ni gari mpya Tu
Mbona hapa Tanzania wanauza Renault mpya kabisa haizidi milioni 22??
Ndugu, naomba picha yake tafadhali
 
Kwanini South Africa?
Umeuliza Rwanda kuhusu VW bei?
Je India?
India wanauza gari mpya bei nafuu kuliko Japan...

Halafu kama issue ni gari mpya Tu
Mbona hapa Tanzania wanauza Renault mpya kabisa haizidi milioni 22??
Renault za india
 
ANA
30 ANATAKA MPYA...NI KUJICHOSHA UTANUNUA STARLET
 
International motors ni kampuni ya wapi?
 
Kwanini South Africa?
Umeuliza Rwanda kuhusu VW bei?
Je India?
India wanauza gari mpya bei nafuu kuliko Japan...

Halafu kama issue ni gari mpya Tu
Mbona hapa Tanzania wanauza Renault mpya kabisa haizidi milioni 22??
Mkuu, watanzania ninwatu wa ajabu sana. Mtanzania anaweza kuagiza gari Japan hadi la Milioni 50 ila anaogopa kuagiza spare parts isiyozidi hata laki 5 nje ya nchi🤣🤣🤣
 
So kwa 30m naweza pata Pick-Up?
 
Mkuu, hii ya kulipa miezi 36 utaratibu wake upoje?
Fuel consumption yake inasemaje? Km ngapi kwa Litre?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…