Military photos

kazi kazi hii kitu inachosha asikwambie mtu ila Jeshi sio poa hapo mpo hivyo mna crawl mbele yako hata kama kuna nnyaaa unapita nayo hivyo hivyo
Yabidi tuwaheshimu sana hawa jamaa
 
kazi kazi hii kitu inachosha asikwambie mtu ila Jeshi sio poa hapo mpo hivyo mna crawl mbele yako hata kama kuna nnyaaa unapita nayo hivyo hivyo
Mkuu ukiipenda ni bonge la starehe asikwambie mtu. Huwa nahisi bonge la fahari
 
Mig-31 (RU)

Mig-35 (RU)

Sukhoi Su-30 Fighter (RU), kwa maoni yangu, hii ndo "Fighter Jet" bora ya muda wote, haina mbwembwe nyingi, highly maneuverable.

Su-34 Fighter-Bomber (RU),

Su-57/T50/PAK FA (RU)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…