Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yabidi tuwaheshimu sana hawa jamaakazi kazi hii kitu inachosha asikwambie mtu ila Jeshi sio poa hapo mpo hivyo mna crawl mbele yako hata kama kuna nnyaaa unapita nayo hivyo hivyo
Mkuu ukiipenda ni bonge la starehe asikwambie mtu. Huwa nahisi bonge la faharikazi kazi hii kitu inachosha asikwambie mtu ila Jeshi sio poa hapo mpo hivyo mna crawl mbele yako hata kama kuna nnyaaa unapita nayo hivyo hivyo
Hakika mkuu kitu chochote ukikitekeleza kwa mapenzi ya moyo lazima ukitendee haki.ukitaka Jeshi uinjoy uipende toka moyon la sivyo itakushinda