Ok, kesho ntakuwa maeneo ya town haponi Blood Diamond,baby si unajua umri unanitupa mkono hadi nasahau
leta namba PM sasa😋Ok, kesho ntakuwa maeneo ya town hapo
leta namba PM sasa😋
Nn hiyo?
Humvee, jeshi la US wameireplace hii gari ya kazi wameleta nyingine ya juu juu hivi
Picha?Humvee, jeshi la US wameireplace hii gari ya kazi wameleta nyingine ya juu juu hivi
ila Mkuu, humvee itabaki kua iconic tu
Against aerodynamics law
Humvee bonge la gari hata mwonekano wake umekaa kijeshi sana. Naunga mkonoila Mkuu, humvee itabaki kua iconic tu
Sio hawa wa bongoHii kada ni ya kipekee na wana majukumu makubwa na mazito mnoo! MUNGU AWABARIKI POPOTE WALIPO!