Military photos

Katika kizazi hiki Silaha niliyoikibali na inayofanya kazi kikamilifu ni NLAWs. Nimeijua kwenye vita ya Ukraine. Inapiga umbali wa Mita 800. Sio nzito, inashabaha. Inaharibu kila aina ya Kifaru. Hii ndo silaha imewanyong'esha Urusi.

The Next Generation Light Anti-tank Weapon (NLAW), also known as the Main Battle Tank and Light Anti-tank Weapon (MBT LAW)
 
Hiyo hapo kwa kweli kabisa hii kitu ni shidaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…