Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]
K9,, hatarii
Znaitwa gillie suit,,, wanazitengeneza wenyeweKhaaah sasa hapa utajuaje watu wamelala?
Wahuni wangu hao
Hatuna hata moja,,, they are freaking expensive🪖Hivi hapa kwetu Tz tuna submarines ngapi 🪖View attachment 2141077View attachment 2141079View attachment 2141082View attachment 2141078View attachment 2141080View attachment 2141081View attachment 2141083
Scope nyuma ya red dot[emoji848][emoji848]
Hiyo hapo kwa kweli kabisa hii kitu ni shidaaKatika kizazi hiki Silaha niliyoikibali na inayofanya kazi kikamilifu ni NLAWs. Nimeijua kwenye vita ya Ukraine. Inapiga umbali wa Mita 800. Sio nzito, inashabaha. Inaharibu kila aina ya Kifaru. Hii ndo silaha imewanyong'esha Urusi.
View attachment 2163459
The Next Generation Light Anti-tank Weapon (NLAW), also known as the Main Battle Tank and Light Anti-tank Weapon (MBT LAW)