Military photos

Military photos

3ee5ad6cd8a33249c3c3d4480c8a831b.jpg
 
Ivi AK 47 shilingi ngapi?
ukienda kigoma na mikoa jirani ya congo inasemekana unaweza kuipata kwa exchange ya gunia kadhaa za mahindi,kwa dukani kwenye nchi zinazoruhusu kumiliki ak47 inaweza kuwa kama tsh 7m+ kwa hspa Tz huruhusiwi kumiliki silaha kubwa za aina hiyo,ni bastola tu ambazo Tanganyika Arms wanauza 2m+
 
Back
Top Bottom