Milk cow allergy

Milk cow allergy

ngawia

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
770
Reaction score
794
Mwanangu ana allergy ya milk fomula yenye maziwa ya ngombe skimmed cow milk na soy milk formula wadau natumia maziwa gani?. Au anaweza kushinda na vyakula mpaka Mama yake aje anyonyeshe saa 10 jion maana Mama yake anaondoka asbh sana.

Umri miezi 9.
 
Mwanangu ana allergy ya maziwa ya ngombe na soy milk formula wadau natumia maziwa gani?. Au anaweza kushinda na vyakula mpaka Mama yake aje anyonyeshe saa 10 jion maana Mama yake anaondoka asbh Sana.....Umri miezi 9.
Kumnywesha maziwa ya ng'ombe mtoto mchanga ni kosa kubwa mno katika afya nzima ya mtoto!Hakikisha kuwa mtoto wako anapata maziwa ya Mama yake kwa gharama yoyote ile hata kama ni kwa kumpeleka kwa Mama yake na kumrudisha.
 
Mwanangu ana allergy ya maziwa ya ngombe na soy milk formula wadau natumia maziwa gani?. Au anaweza kushinda na vyakula mpaka Mama yake aje anyonyeshe saa 10 jion maana Mama yake anaondoka asbh Sana.....Umri miezi 9.
Miezi tisa anaweza kula vyakula mbadala, kama ugali mlaini, supu, mtori, juice ya matunda au matunda yenyewe, mashed potatoes, uji, cerelac na vegetable soup

Pia unaweza jaribu maziwa ya kopo, infant formula kama la togen au maziwa ambayo unaona utamudu gharama yake ikiwa kama mbadala wa maziwa ya ng'ombe na akayatumia kwa muda ule ambao mama anakua kazini, mama kirudi ataendelea kumyonyesha

Inashauriwa maziwa ya ng'ombe sio mazuri sanakwa mtoto chini ya umri wa miaka miwili, mara nyingi husababisha mzio
 
Kumnywesha maziwa ya ng'ombe mtoto mchanga ni kosa kubwa mno katika afya nzima ya mtoto!Hakikisha kuwa mtoto wako anapata maziwa ya Mama kwa gharama yoyote ile hata kama ni kumpeleka kwa Mama yake kwa kutumia bodaboda na kumrudisha.
🤣🤣 umeanza vizuri ila uliposema ampeleke mtoto kwa kutumia bodaboda hapana
 
🤣🤣 umeanza vizuri ila uliposema ampeleke mtoto kwa kutumia bodaboda hapana
Mimi mwanangu mchanga yalimkuta hayohayo ya Mama yake kwenda kazini na kurudi jioni.Nilikuwa nampeleka kila siku mchana,ananyonya then namrudisha nyumbani.
 
Kumnywesha maziwa ya ng'ombe mtoto mchanga ni kosa kubwa mno katika afya nzima ya mtoto!Hakikisha kuwa mtoto wako anapata maziwa ya Mama yake kwa gharama yoyote ile hata kama ni kwa kumpeleka kwa Mama yake kwa kutumia bodaboda na kumrudisha.
😀😀😀😀😀 hapo kwenye boda boda sasa.
 
[emoji1787][emoji1787] umeanza vizuri ila uliposema ampeleke mtoto kwa kutumia bodaboda hapana

Labda jamaa ana Boda boda anatafuta tenda kiujanja utajuaje? Watu hua wanaanzia mbali, haujawahi kuona mtu anajisemesha mimi nikipata mwanamke wala siwezi kumnyanyasa na nitamuhudumia kweli, wewe unaju hiki kidume kumbe kimeo sema kinaanzia mbali unaswe
 
😀 😀 😀 😀 😀
 
Mimi mwanangu mchanga yalimkuta hayohayo ya Mama yake kwenda kazini na kurudi jioni.Nilikuwa nampeleka kila siku mchana,ananyonya then namrudisha nyumbani.
Kama utaratibu wa kumpeleka unawezekana hakuna shida ila bodaboda sio salama kwa mtoto mdogo wa miezi tisa, lakini kama haiwezekani mtoto wa miezi tisa tayari anatakiwa kuanzishiwa chakula mbadala na maziwa mbadala mpaka mama atakaporudi kutoka kazini ataendelea kumnyonyesha
 
Ila bado nina mashaka na mleta uzi, kama soy milk imempelekea mzio mtoto.

Kwani kinachopelekea mzio kwenye maziwa hasa ni nini?
Yeah soy milk pia inasababisha mzio, cha msingi ajaribishe maziwa tofauti ambayo ataona hayana reaction abaki nayo
 
Kama utaratibu wa kumpeleka unawezekana hakuna shida ila bodaboda sio salama kwa mtoto mdogo wa miezi tisa, lakini kama haiwezekani mtoto wa miezi tisa tayari anatakiwa kuanzishiwa chakula mbadala na maziwa mbadala mpaka mama atakaporudi kutoka kazini ataendelea kumnyonyesha
Nimefuta kauli ya bodaboda!😁😁😁
 
Yeah soy milk pia inasababisha mzio, cha msingi ajaribishe maziwa tofauti ambayo ataona hayana reaction abaki nayo
Basi nilikuwa najua lactose intolerance inasababishwa na kiasi kidogo cha lactase enzyme kwenye mfumo wa chakula kinachopelekea kushindwa kuvunja lactose, which means kwenye soy milk hakuna lactose sugar hivyo mtoto anakuwa safe.
 
Kuna mtoto namfahamu ana asthma, kwale yeye maziwa ya aina yoyote yanampa attack, ilifika mahali Daktari akashauri aitumie maziwa wala mayai, na since then hajapata attack kabisa, pengine huyo mtoto ana other conditions, sio mtaalamu sana wa haya mabo ila nazungumzia uzoefu wangu, sizungumzi kitaalamu
 
Usijali mkuu, hata haya mavitabu sometime ni miyeyusho tu.
 
Mara moja au mbili kwa wiki mpe dagaa apate calcium anayoikosa kwenye maziwa. Dagaa unaweza kuwaponda wakachemshwa kwenye uji au mtori.
 
Sorry ni milk formula zote zenye cow milk zinamkataa I mean zinamletea allergy Dr alinishauri ni opt SMA Soy milk formula nayo sasa naona ameanza kudevelop allergy tena nayo
 
nunua kidude cha kukamulia maziwa ya mama yake kuna vya kuhifadhia pia yanawekwa kwenye frizer mama anakamua anayaacha mkitaka kumpa yanapashwa kupata joto anapewa
 
Back
Top Bottom