Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumnywesha maziwa ya ng'ombe mtoto mchanga ni kosa kubwa mno katika afya nzima ya mtoto!Hakikisha kuwa mtoto wako anapata maziwa ya Mama yake kwa gharama yoyote ile hata kama ni kwa kumpeleka kwa Mama yake na kumrudisha.Mwanangu ana allergy ya maziwa ya ngombe na soy milk formula wadau natumia maziwa gani?. Au anaweza kushinda na vyakula mpaka Mama yake aje anyonyeshe saa 10 jion maana Mama yake anaondoka asbh Sana.....Umri miezi 9.
Miezi tisa anaweza kula vyakula mbadala, kama ugali mlaini, supu, mtori, juice ya matunda au matunda yenyewe, mashed potatoes, uji, cerelac na vegetable soupMwanangu ana allergy ya maziwa ya ngombe na soy milk formula wadau natumia maziwa gani?. Au anaweza kushinda na vyakula mpaka Mama yake aje anyonyeshe saa 10 jion maana Mama yake anaondoka asbh Sana.....Umri miezi 9.
🤣🤣 umeanza vizuri ila uliposema ampeleke mtoto kwa kutumia bodaboda hapanaKumnywesha maziwa ya ng'ombe mtoto mchanga ni kosa kubwa mno katika afya nzima ya mtoto!Hakikisha kuwa mtoto wako anapata maziwa ya Mama kwa gharama yoyote ile hata kama ni kumpeleka kwa Mama yake kwa kutumia bodaboda na kumrudisha.
Mzio maana yake n nn?Miezi tisa anaweza kula vyakula mbadala, kama ugali mlaini, supu, mtori, juice ya matunda au matunda yenyewe, mashed potatoes, uji, cerelac na vegetable soup..
Aleji kwa kiswahili tunaita mzioMzio maana yake n nn?
Mimi mwanangu mchanga yalimkuta hayohayo ya Mama yake kwenda kazini na kurudi jioni.Nilikuwa nampeleka kila siku mchana,ananyonya then namrudisha nyumbani.🤣🤣 umeanza vizuri ila uliposema ampeleke mtoto kwa kutumia bodaboda hapana
😀😀😀😀😀 hapo kwenye boda boda sasa.Kumnywesha maziwa ya ng'ombe mtoto mchanga ni kosa kubwa mno katika afya nzima ya mtoto!Hakikisha kuwa mtoto wako anapata maziwa ya Mama yake kwa gharama yoyote ile hata kama ni kwa kumpeleka kwa Mama yake kwa kutumia bodaboda na kumrudisha.
Ila bado nina mashaka na mleta uzi, kama soy milk imempelekea mzio mtoto.Aleji kwa kiswahili tunaita mzio
[emoji1787][emoji1787] umeanza vizuri ila uliposema ampeleke mtoto kwa kutumia bodaboda hapana
😀 😀 😀 😀 😀Labda jamaa ana Boda boda anatafuta tenda kiujanja utajuaje? Watu hua wanaanzia mbali, haujawahi kuona mtu anajisemesha mimi nikipata mwanamke wala siwezi kumnyanyasa na nitamuhudumia kweli, wewe unaju hiki kidume kumbe kimeo sema kinaanzia mbali unaswe
Kama utaratibu wa kumpeleka unawezekana hakuna shida ila bodaboda sio salama kwa mtoto mdogo wa miezi tisa, lakini kama haiwezekani mtoto wa miezi tisa tayari anatakiwa kuanzishiwa chakula mbadala na maziwa mbadala mpaka mama atakaporudi kutoka kazini ataendelea kumnyonyeshaMimi mwanangu mchanga yalimkuta hayohayo ya Mama yake kwenda kazini na kurudi jioni.Nilikuwa nampeleka kila siku mchana,ananyonya then namrudisha nyumbani.
Yeah soy milk pia inasababisha mzio, cha msingi ajaribishe maziwa tofauti ambayo ataona hayana reaction abaki nayoIla bado nina mashaka na mleta uzi, kama soy milk imempelekea mzio mtoto.
Kwani kinachopelekea mzio kwenye maziwa hasa ni nini?
Nimefuta kauli ya bodaboda!😁😁😁Kama utaratibu wa kumpeleka unawezekana hakuna shida ila bodaboda sio salama kwa mtoto mdogo wa miezi tisa, lakini kama haiwezekani mtoto wa miezi tisa tayari anatakiwa kuanzishiwa chakula mbadala na maziwa mbadala mpaka mama atakaporudi kutoka kazini ataendelea kumnyonyesha
Basi nilikuwa najua lactose intolerance inasababishwa na kiasi kidogo cha lactase enzyme kwenye mfumo wa chakula kinachopelekea kushindwa kuvunja lactose, which means kwenye soy milk hakuna lactose sugar hivyo mtoto anakuwa safe.Yeah soy milk pia inasababisha mzio, cha msingi ajaribishe maziwa tofauti ambayo ataona hayana reaction abaki nayo
Kuna mtoto namfahamu ana asthma, kwale yeye maziwa ya aina yoyote yanampa attack, ilifika mahali Daktari akashauri aitumie maziwa wala mayai, na since then hajapata attack kabisa, pengine huyo mtoto ana other conditions, sio mtaalamu sana wa haya mabo ila nazungumzia uzoefu wangu, sizungumzi kitaalamuBasi nilikuwa najua lactose intolerance inasababishwa na kiasi kidogo cha lactase enzyme kwenye mfumo wa chakula kinachopelekea kushindwa kuvunja lactose, which means kwenye soy milk hakuna lactose sugar hivyo mtoto anakuwa safe.
Usijali mkuu, hata haya mavitabu sometime ni miyeyusho tu.Kuna mtoto namfahamu ana asthma, kwale yeye maziwa ya aina yoyote yanampa attack, ilifika mahali Daktari akashauri aitumie maziwa wala mayai, na since then hajapata attack kabisa, pengine huyo mtoto ana other conditions, sio mtaalamu sana wa haya mabo ila nazungumzia uzoefu wangu, sizungumzi kitaalamu