Millad ayo!

Mungu aepushe mbali, watanzania tunamuhitaji alafu unataka aondoke...Si tuiombee hiyo clouds iwe kama CNN.
juzi tu nimekuta post eti amepata zali dstv, sijaielewa lakini mpaka leo sina amani.

Naomba niongezee wasifu...Ni mbunifu, haogopi kuthubutu, anashawishi kumsikiliza.

Ila nakumbuka babu yangu aliniambia kuwa "ukiona vyaelea basi vimeundwa" sifa pia kwa waajiri wake, kwa uwezo na kipaji alichonacho anastahili kuwepo kwenye Super brand radio.
 
ebu niambie ni redio gani nyingine bongo yenye hadhi yake kwasasa, na kwa nature ya vipindi vyake anaweza kushine kama hapo alipo clouds?

alisha shine tokea kule alikoanzia Radio One/ITV,enzi hizo milazo 1 'o' 1 na taarifa za michezo

ni very disciplined level za Deutchwele,wafu fm watamfundisha kufitinisha wasanii tu
 
alisha shine tokea kule alikoanzia Radio One/ITV,enzi hizo milazo 1 'o' 1 na taarifa za michezo

ni very disciplined level za Deutchwele,wafu fm watamfundisha kufitinisha wasanii tu

unajua ni nini kilimtoa huko ITV/REDIO ONE Hadi akaenda Clouds?
 
alisha shine tokea kule alikoanzia Radio One/ITV,enzi hizo milazo 1 'o' 1 na taarifa za michezo

ni very disciplined level za Deutchwele,wafu fm watamfundisha kufitinisha wasanii tu

Hizo unazotaja hata mie nilizisikia akihojiwa kwenye mkasi sikuwahi kujua kama alipitia huko.
 
"bora ya maboya yataelea kwenye maji ila kwa hizi mtapiga deki nyumbani kwa watangazaji"-joh makini
 
he deserved all above but the media which he working for is what people hates.
 
acheni kupika vyungu..dogo anastahili heshima kwa kazi anayofanya weka kando redio aliyopo!!!!!
 
unajua ni nini kilimtoa huko ITV/REDIO ONE Hadi akaenda Clouds?

yaani kaka Revo sijui nianzie wapi,kwanza nakupa pongezi kwa uelewa wako huwa nafuatilia sana comment zako zisizo na fitna.Hivi hawa baadhi ya member humu JF tuwaelimisheje kuhusu CLOUDS?mana naona sasa wanaichukia muda mwingine pasipo na sababu mfao mimi nimemsifia kijana na kazi yake wao wanaanza kuiponda RADIO JE WAMETUMWA au ni uelewa mdogo?akina RUGE wasaidieje vijana sasa wawabebe kwenye migongo yao?jambo gani la ajabu walilolifanya mpaka wawachukie ivyo?JE kati yetu ni nani malailka asiye na mapungufu kiasi cha kuweza kuwarushia mawe?JAMANI CHUKI BINAFSI HAZIFAI sanasana zinakondesha na kuzeesha uso!
 
he deserved all above but the media which he working for is what people hates.

kwa taarifa yako iyo Radio unayosema watu wanaichukia ndio inayosikilizwa sana kwa sasa kiasi kwamba mpaka matangazo yanakua mengi kwao na mengine wanayakataa kutokana na uwingi wake eti people hates halafu asubuhi asubui wanaifungulia kusikiliza acha wivu wa kijinga!
 
alisha shine tokea kule alikoanzia Radio One/ITV,enzi hizo milazo 1 'o' 1 na taarifa za michezo

ni very disciplined level za Deutchwele,wafu fm watamfundisha kufitinisha wasanii tu

Sio bure umetumwa!
 
Ni kweli kabisa ndugu yangu nami niupate maelezo yangu pia ana sauti ya utangazaji iliyo Tamu kusikiliza! iyo ndo SUPER BRAND INAYOJALI watumishi wake wanayoipond basi wakalie jungu la uji wa moto!
 
Watanzania ndo mlivyo mkiona kijana njia ya pesa imenyoka mnaanza kulowesha vyupi vyenu - Yo Yo
hii comment yako imeniacha hoi.......
watu mna vipaji vya kufikiria in a negative way.........
 
He's the best kwenye sifa apewe sio hadi nae atangulie ndo tuseme jaman anapenda kazi yake na anaifanya kwa moyo..all in all anaweza akawa a good role model kwa vijana wengi wa kibongo..gud personality,presentable..daah nicje anza kuhubiri sasa hez jct tha best presenter fr me
 
in red, you got a point...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…