Millad ayo!

Millad ayo!

Jamani nisaidieni radio kuwa na wasikilizaji wengi utajuaje?
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, jamaa anafanya kazi.....ila clauds hapamfai coz waimba taarabu pale wengi sana wanajua majungu na udaku tu!
 
Mungu aepushe mbali, watanzania tunamuhitaji alafu unataka aondoke...Si tuiombee hiyo clouds iwe kama CNN.
juzi tu nimekuta post eti amepata zali dstv, sijaielewa lakini mpaka leo sina amani.

Naomba niongezee wasifu...Ni mbunifu, haogopi kuthubutu, anashawishi kumsikiliza.

Ila nakumbuka babu yangu aliniambia kuwa "ukiona vyaelea basi vimeundwa" sifa pia kwa waajiri wake, kwa uwezo na kipaji alichonacho anastahili kuwepo kwenye Super brand radio.

kiukweli kwa hapa tanzania sioni stesheni nyingine itakayomfaa zaidi ya clouds kwani iyo stesheni wabunifu na wanachapa kazi!! huyo milkard mwanzo halikuwa ITV mbona hakung'aa basi tuipe pongezi clouds kwani wameweza kumsaidia kuinua kipaji chake
 
Kuna serious journalism na commedy/ cartoon journalism, yeye peke yake clouds media ndo anafanya serious journalism.
 
Angalia ndugu zangu, kumsifia kwingi mnaweza kuiweka kazi yake mashakani. Maana wale jamaa wa kipindi cha asubuhi cha (PBF) hawapendagi mtu kusifiwa kiasi hiki.
 
yaani kaka Revo sijui nianzie wapi,kwanza nakupa pongezi kwa uelewa wako huwa nafuatilia sana comment zako zisizo na fitna.Hivi hawa baadhi ya member humu JF tuwaelimisheje kuhusu CLOUDS?mana naona sasa wanaichukia muda mwingine pasipo na sababu mfao mimi nimemsifia kijana na kazi yake wao wanaanza kuiponda RADIO JE WAMETUMWA au ni uelewa mdogo?akina RUGE wasaidieje vijana sasa wawabebe kwenye migongo yao?jambo gani la ajabu walilolifanya mpaka wawachukie ivyo?JE kati yetu ni nani malailka asiye na mapungufu kiasi cha kuweza kuwarushia mawe?JAMANI CHUKI BINAFSI HAZIFAI sanasana zinakondesha na kuzeesha uso!

Tatizo lao hata wakiambiwa makosa yao hawataki kujirekebisha!hivi umewah sikiliza kina kibonde wanachoongea?most of the time ni rubbish kabisa...ushabiki wa ajabu ajabu!yan hata hawasomeki!mfano mdogo,wao wanatangaza ile ni redio ya watu,je hao watu ni watu gani?wanachama wa CCM?maana ile redio ina unazi wa CCM kuliko hata redio ya chama Redio UHURU.
Na hapo ndipo hasaa watu wengi wameichukia!hatutak wapendelee ccm,cuf wana Chadema!issue za siasa waziache kwenye majukwaa na sio kujifanya wachambuz wa siasa ilhali wanachambulia maslahi ya tumbo.
 
Jamaa yupo vizuri sana..sema tu yupo kwenye station yenye cv mbovu...naamini akichomoka hapo atashine zaidi na kufika mbali zaidi
 
yaani kaka Revo sijui nianzie wapi,kwanza nakupa pongezi kwa uelewa wako huwa nafuatilia sana comment zako zisizo na fitna.Hivi hawa baadhi ya member humu JF tuwaelimisheje kuhusu CLOUDS?mana naona sasa wanaichukia muda mwingine pasipo na sababu mfao mimi nimemsifia kijana na kazi yake wao wanaanza kuiponda RADIO JE WAMETUMWA au ni uelewa mdogo?akina RUGE wasaidieje vijana sasa wawabebe kwenye migongo yao?jambo gani la ajabu walilolifanya mpaka wawachukie ivyo?JE kati yetu ni nani malailka asiye na mapungufu kiasi cha kuweza kuwarushia mawe?JAMANI CHUKI BINAFSI HAZIFAI sanasana zinakondesha na kuzeesha uso!

Jibu ni hili hapa
“Haters don't really hate you, they hate themselves;
because you're a reflection of what they wish to be”
― Yaira N
 
kiukweli kwa hapa tanzania sioni stesheni nyingine itakayomfaa zaidi ya clouds kwani iyo stesheni wabunifu na wanachapa kazi!! huyo milkard mwanzo halikuwa ITV mbona hakung'aa basi tuipe pongezi clouds kwani wameweza kumsaidia kuinua kipaji chake

Wewe acha hizo,hata huko alikuwa mkali acha kuwapa Clouds sifa wasizostahili,msifu aliyemtoa Arusha kuja kumpa kazi ITV/RADIO ONE Bi.Joyce Mhaville na Deogratius Lweyunga
 
eti nasikia ni shoga ndio maana alipoulizwa na salama kwenye kipindi cha mkasi kua ana mpenzi akasemahana msichana
 
Dogo mwacheni apige kazi yupo kikazi,ana swaga za A-town,yani kusaka noti na kupiga kazi.majungu na mipasho sicho alichofuata pale.dogoo komaa kuwa na malengo ya siku moja kwenda Cnn kabisa.
 
eti nasikia ni shoga ndio maana alipoulizwa na salama kwenye kipindi cha mkasi kua ana mpenzi akasemahana msichana

Nionapo hiyo avatar yako nilishahisi wewe ni "punga" sasa kwa jinsi ulivyotoa hiyo comment sasa sina wasiwasi tena. Akili na mawazo yako yanazunguka hapohapo 24/7.

Utuambie waitwa anti.......
 
eti nasikia ni shoga ndio maana alipoulizwa na salama kwenye kipindi cha mkasi kua ana mpenzi akasemahana msichana

Nikushauri kitu? mrudie MUUMBA WAKO NA UTAPONA HAKIKA!
 
Wewe acha hizo,hata huko alikuwa mkali acha kuwapa Clouds sifa wasizostahili,msifu aliyemtoa Arusha kuja kumpa kazi ITV/RADIO ONE Bi.Joyce Mhaville na Deogratius Lweyunga

cLOUDS NDO KANGARA ZAIDI WAL HAKUNA UBISHI.
 
Sauti yake tu ipo presentable

Wish him the best of luck
 
sauti yake tu ipo presentable

wish him the best of luck

hata salama jabiri kwenye kipindi chake cha mikasi aliwai kuuliza je unajua sauti yako kama nzuri sana ya kiutangazaji?akatabasamu tu.unajua ye hapendi kujisifia na alisema wakati anamwambia mama yake ambaye ni mwalimu kuhusu kuhama kituo kwenda clouds.mama ake alimkatalia na akisema abaki kama ni mshahara yeye mama angekuwa anamwongezea mwisho wa mwezi.millad alikataa ukizingatia mama yake ni mwalimu na aliona ni kama angemdhulumu,ndipo alipofuata moyo wakeunasema nini akahamia alipo sasa na anashine na kumtunza mama vizuri tofauti na mwanzo alipokuwa anasindikiza wajanja.
 
Ok!.
Hongera zake japo huwa simsikilizi sababu ya hiyo radio ya wafu aliyopo.
Akaze buti tu aende mbele wafu fm hapamfai.
 
Back
Top Bottom