Mungu aepushe mbali, watanzania tunamuhitaji alafu unataka aondoke...Si tuiombee hiyo clouds iwe kama CNN.
juzi tu nimekuta post eti amepata zali dstv, sijaielewa lakini mpaka leo sina amani.
Naomba niongezee wasifu...Ni mbunifu, haogopi kuthubutu, anashawishi kumsikiliza.
Ila nakumbuka babu yangu aliniambia kuwa "ukiona vyaelea basi vimeundwa" sifa pia kwa waajiri wake, kwa uwezo na kipaji alichonacho anastahili kuwepo kwenye Super brand radio.
yaani kaka Revo sijui nianzie wapi,kwanza nakupa pongezi kwa uelewa wako huwa nafuatilia sana comment zako zisizo na fitna.Hivi hawa baadhi ya member humu JF tuwaelimisheje kuhusu CLOUDS?mana naona sasa wanaichukia muda mwingine pasipo na sababu mfao mimi nimemsifia kijana na kazi yake wao wanaanza kuiponda RADIO JE WAMETUMWA au ni uelewa mdogo?akina RUGE wasaidieje vijana sasa wawabebe kwenye migongo yao?jambo gani la ajabu walilolifanya mpaka wawachukie ivyo?JE kati yetu ni nani malailka asiye na mapungufu kiasi cha kuweza kuwarushia mawe?JAMANI CHUKI BINAFSI HAZIFAI sanasana zinakondesha na kuzeesha uso!

kiukweli kwa hapa tanzania sioni stesheni nyingine itakayomfaa zaidi ya clouds kwani iyo stesheni wabunifu na wanachapa kazi!! huyo milkard mwanzo halikuwa ITV mbona hakung'aa basi tuipe pongezi clouds kwani wameweza kumsaidia kuinua kipaji chake
eti nasikia ni shoga ndio maana alipoulizwa na salama kwenye kipindi cha mkasi kua ana mpenzi akasemahana msichana
sauti yake tu ipo presentable
wish him the best of luck