KALINZI NYUMBANI
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 1,797
- 1,594
Huo niushamba kusema vitu usivyo na ushahidi navyo.unasema ye ni gay umeshawahi kumla?.We kama sio mama yake utakua gay mwenzie,we unadhani hapa mjini watu hawajui?labda huko kwenu itimbila
Usitetee upande wowote haukuwepo eneo la tukio, pia hawa watu ambao huwezi jua mahusiano yao mara nyingi wanaponea huko, ni binadam anakula anashibaHuyo demu hata ajui pa kutafutia kiki. Like seriously kabisa? Nina miaka 7 namfahamu Millard ayo. Sijawahi kusikia maswala yake ya mahusiano hadharani. Pili huyo demu. Hajielewi kumchafua tu mchizi.
Teh teh...na wewe unamuwinda millard??punguza povu nenda fiesta na wewe utampata tuLini ulisikia kibAya kumuhusu millard toka umfahamu. Kiki na kujidhalilisha wapi na wapi
We ni mwanaume kweli?sisi ni kama simba muda wote tuko mawindoni,na kichwa kidogo kikishasema go hakuna wa kukizuia,au unataka kumaanisha Millard ni joka la kibisa?mimi mwenyewe sina umaarufu wowote ila siwezi kufanya ujinga kama huo,Kik inasakwa kwa nguvu zote naona
Jamaa anatuabisha sana unakopaje k aiseeaiseee... kwa mkopo