Millard Ayo achafuliwa Instagram

Millard Ayo achafuliwa Instagram

We kama sio mama yake utakua gay mwenzie,we unadhani hapa mjini watu hawajui?labda huko kwenu itimbila
Huo niushamba kusema vitu usivyo na ushahidi navyo.unasema ye ni gay umeshawahi kumla?.

Au unahitaji akae anamuanika manzi wake mitandaoni kama watu wengine wanavyofanya?

Vipi ukigundua ndio baba yako mdogo ndio utaamini kuwa sio gay?.

Hakuna la ziada zaidi ya wivu kwa vijana wanaofanikiwa ndio zinawaendesha wajinga km wewe.
 
Hii habari iachwe neutral anayepinga atoe ushahidi na anayekubali atoe. Kama nakumbuka vizuri namba hiyo IPO kwene ile hotel. Msisahau CCTV zipo.
 
Huyo demu hata ajui pa kutafutia kiki. Like seriously kabisa? Nina miaka 7 namfahamu Millard ayo. Sijawahi kusikia maswala yake ya mahusiano hadharani. Pili huyo demu. Hajielewi kumchafua tu mchizi.
Usitetee upande wowote haukuwepo eneo la tukio, pia hawa watu ambao huwezi jua mahusiano yao mara nyingi wanaponea huko, ni binadam anakula anashiba
 
mimi mwenyewe sina umaarufu wowote ila siwezi kufanya ujinga kama huo,Kik inasakwa kwa nguvu zote naona
 
Duh! Noma sana
1474912637453.jpg
 
Mtu wangu wa nguvu lipa hela za watu,acha dhuluma,usisingiziwe siku zote hizo iwe leo?
 
mimi mwenyewe sina umaarufu wowote ila siwezi kufanya ujinga kama huo,Kik inasakwa kwa nguvu zote naona
We ni mwanaume kweli?sisi ni kama simba muda wote tuko mawindoni,na kichwa kidogo kikishasema go hakuna wa kukizuia,au unataka kumaanisha Millard ni joka la kibisa?
 
Khaaa! Mie nilijua kaliwa ' no entry'?
Iwe kweli isiwe kweli kupiga Chuchu pori maeneo ya fiesta ni jambo la kawaida sana Kama kukwangua vocha na ku recharge simu yako!
 
Back
Top Bottom