Millard Ayo achafuliwa Instagram

Upo alright aisee! mi naona dada kadhulumiwa kupigishwa kwata freee! ndio maana masogange anachukuaga selfie akiwa rum ili ashindwe kukataa akizingua alipo!
 
Nataka nitoke kwenye gazeti niuze sura [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Nashangaa
 
Usikute mdau kakata kwl alaf watu tunamtete kwny maisha chochote kinaweza tokea tn kwa m2 yeyote
 
........dah kumbe haya masuala haya angalii ww ni nani katka jamii.....cha msingi...ni kununua mzigo na kuubinya tyuuu hamna namna....ilaa ka ni kwelii no kutafuta kiki...mh.

ngja nicheke......hhahahahahhahahahahhahahahahhahahhahahhahahahahahhahahahahhahahahahaahahahahahhahahahha
 
Nimewahi toa elfu 80... Ebwana eeh...kumbe ni level za wabunge....si nikaambiwa pesa haitoshi...nikaahidi nitarusha. Nami nikatoka mbio
 
.naona mwandiko ni kama wamleta post.!au macho yangu tu.!
 
.naona mwandiko ni kama wamleta post.!au macho yangu tu.!
 
Ii kiki ni gud kwa Millard ila naweza hisi imepandikizwa kumpa ayo kiki,ni maoni yang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…