CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
waulize mkuu!wanamsemea ufatdani wanaishi nae
Sometimes akili za JF huwa sizielewi, kwani yeye nani asifanye hivyo. After all hao wanaojiita celebrities ndio zao, uzinzi and the like
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
waulize mkuu!wanamsemea ufatdani wanaishi nae
damage control,inaonekana kabisa muhusika alilipia hilo bandiko ili aonekane rijali,ilhali kuja tetesi kuwa jamaa sio rizkihayo maelezo ukiyasoma vizuri utagundua huyo dada ni muongo.
kama ni mkweli alete screenshot ya chat zao.
Upo alright aisee! mi naona dada kadhulumiwa kupigishwa kwata freee! ndio maana masogange anachukuaga selfie akiwa rum ili ashindwe kukataa akizingua alipo!Aisee! Instagram community! Lakini kwanini tunamuona huyo dada muongo? Kwamba Millard Ayo hawezi kupiga mechi za mchangani; au?! Mechi hizi hizi ambazo zinapigwa na Masheikh, Maaskofu, Mawaziri na wengine kibao zionekane haiwezekani kwa Millard? Au hawezi kutoa advance kisha akaingia mitini?!
[emoji134] [emoji28]
NashangaaAisee! Instagram community! Lakini kwanini tunamuona huyo dada muongo? Kwamba Millard Ayo hawezi kupiga mechi za mchangani; au?! Mechi hizi hizi ambazo zinapigwa na Masheikh, Maaskofu, Mawaziri na wengine kibao zionekane haiwezekani kwa Millard? Au hawezi kutoa advance kisha akaingia mitini?!
Huwa nafwatilia kwa ukarib post zako huwa zimeshiba.Duh!
Umejuaje 'kimya sana'?
Huwa unanifuatilia kwa ukaribu?
Mi nipo tu mbona...
........dah kumbe haya masuala haya angalii ww ni nani katka jamii.....cha msingi...ni kununua mzigo na kuubinya tyuuu hamna namna....ilaa ka ni kwelii no kutafuta kiki...mh.
Kwa hiyo huyu alifyirika!