Millard Ayo achafuliwa Instagram

All in all, mdada anaonekana alifurahia show...
No regrets
 
Ngoja arudi dubai ajibu hizi tuhuma ila kwa yule muhindi alie naye millard hawezi fanya huu ujinga
 

Kwa nimjuavyo Millard Ayo sidhani kama anaweza anaweza kufanya " upuuzi " wa aina hiyo na sana sana ninachokiona hapo ni vita tu ya Kibiashara hasa ukizingatia kuwa kwa sasa Millard anawaburuza baadhi ya Watu Kibiashara hasa baada ya kuonekana " anakubalika ". Na inavyoelekea kama na Yeye hatokuwa makini na kuchukua tahadhari za " kimkakati " mapema anaweza kujikuta anachafuliwa sana na kuja kumuharibia. Awe tu mwangalifu na awachunguze pia Marafiki zake kwani waliosema kuwa " kikulacho ki nguoni mwako " hawakukosea.
 
hivi unawezaje kumtetea binadamu ambae hujui moyo wake?
 
Kina dada wanaliwa bureee na mastaa wa kiume,
Mastaa wa kike WANAUZA hawana free.
 
Upuuzi upi ambao hawezi kuufanya? Wa kupiga ndondo cup au kutoa advance na kula kona?!
 
it is imporsible kwa mtu mtu ninayemfahamu kama millard.millard namfahamu na kwa asilimia huyu dada katumwa kama alivyotumwa jaji mtungi na lipumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…