Umejuaje kama wanamsingizia[emoji125] [emoji125]Sio kweli wanamsingizia.
Huyu demu lazima alijipendekeza tu..millard hakulaza damu..possibly nyapu haikuwa na viwango..millard kazoea nyapu za wazaramo full mabinzari, midarasini si unajua #MADEMUwaDAR# apeleke nyapu yake MSAMVUMillard kakopa nyapu?
Mi nadhani millard mwenyewe amhoji huyu demu halafu ajihoji (millard) mwenyew then aturushie kwa [HASHTAG]#AMPLIFAYA[/HASHTAG]Atafutwe huyo dada ahojiwe halafu afuatwe na Millard ayo ahojiwe halafu tutaitazama interview youtube
Kama anategeshewa afanye MTU WANGU WA NGUVU??? Huyu dada hajui magufuri kabana hela? Tusua tu millard...Mpaka kumaliza mzunguko wa Fiesta atakua kagonga nyapu ngapi, duuh! Kumbe Fiesta ni zaidi ya mwenge wa uhuru.. Hizi Fiesta zinaongeza idadi ya wangonjwa kwa kweli... Imooooo.. Mwakani slogan itakua Uwoooooooo
Zero six two two two two two two....(in eric omond's voice)ahaa naombeni namba ya millard nikaone
AhahahahaaaKwa wanaochukia vibamia hii taarifa njema kwao[emoji3] [emoji125] [emoji125]
Weeeeeeeeeeeee kakudanganya nani?????[HASHTAG]#ZAKARIA[/HASHTAG] HANA MACHO mtu wangu wa nguvu#Ngoja arudi dubai ajibu hizi tuhuma ila kwa yule muhindi alie naye millard hawezi fanya huu ujinga
Vigumu mkuu sababu mganga hajigangiMi nadhani millard mwenyewe amhoji huyu demu halafu ajihoji (millard) mwenyew then aturushie kwa [HASHTAG]#AMPLIFAYA[/HASHTAG]
,,,,,,IMOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
mtu wangu wa nguvu akatoa shughuli yenyew nguvu pale pallace morogoro...hahahaha huu mchezo hauihitaji hasira dadaaaaa
Mbona umecheka kwa sauti mkuu au kisu kimeingia kwenye mfupa mulemule[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]Ahahahahaaa
Hawezi ipo Doro nawaza kwa sautiAisee! Instagram community! Lakini kwanini tunamuona huyo dada muongo? Kwamba Millard Ayo hawezi kupiga mechi za mchangani; au?! Mechi hizi hizi ambazo zinapigwa na Masheikh, Maaskofu, Mawaziri na wengine kibao zionekane haiwezekani kwa Millard? Au hawezi kutoa advance kisha akaingia mitini?!
Alimwambia atamrushia kwa simu...si amsubirie? Watu wanamsubiri YESU miaka elf 2 imepita sembuse yeye hata mwezi bado? ATUNZE RISITI TU..Vigumu mkuu sababu mganga hajigangi
1.Mwanamke ataogopa hatotokea studio
2.Mtangazaji atahoji maswali mepesi
3.Mmoja wapo anaweza kupandisha hasira kukaokea ugomvi
4.Anaweza kumpoza ili akanushe
Media nyingine za udaku ndo zinaweza kutupa taarifa safi kwani blogs, magazeti na online Tv si zipo
Labda... vinginevyo hii makitu haina mteule!Hawezi ipo Doro nawaza kwa sauti