Ile kitu ingineLabda... vinginevyo hii makitu haina mteule!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] nimecheka kwa sautiKulala na millardayo tu ni zawadi dadaa...hiyo pesa kakuongezea tuuuuu......
Ikishaanza kutekenya haitoki hata kwa kuoga maji baridi! Ni kama inauliza, "ukiwa na njaa, unaoga maji baridi... shenzi taipu!"Ile kitu ingine
Hata MTUKUFU wetu anapigaga ila ni TTOP SECRETIle kitu ingine
Na ukiangalia fiesta hamna helaa kabisaaNaunga mkono hoja.... Yeye ni nani, na ulitaka uanze kusikia lini madudu yake sio kama hivi ulivosikia leo? Hii kitu hainaga utaalamu wa usomi.... Genye zina nguvu kuliko akili yako ya kawaida, ndio maana mtu anachojoa akabaki kama alivozaliwa mbele ya mwenzie bila kuona aibu na asijitambue... Wangapi wenye utimamu na busara za kumzidi Millard, wameumbuka kwenye hii kitu? Hata hao wenye skendo walikua kama Millard, leo imefika zanu ya millard kwann msiamini? Kila jambo Lina mwisho wake, na ukae ukijua uzinzi Mungu hapendi, kaamua kumuonya kwa namna hii.. MUNGU ANAONA......
Millard ayo ni good gentleman, mtu wa nguvu yupo peace sana. Natumaini atatumia busara ktk kipindi hiki cha kick ya mpito though ni kipindi kigumu kwa skendo mbaya.Alimwambia atamrushia kwa simu...si amsubirie? Watu wanamsubiri YESU miaka elf 2 imepita sembuse yeye hata mwezi bado? ATUNZE RISITI TU..
Yuko peace balaaa..akinyamaza ntamkubari saaana...Millard ayo ni good gentleman, mtu wa nguvu yupo peace sana. Natumaini atatumia busara ktk kipindi hiki cha kick ya mpito though ni kipindi kigumu kwa skendo mbaya.
Akinyamaza itakuwa ishu[emoji3]
Akisema hamjui itakuwa ishu[emoji3]
Akitolea ufafanuzi itakuwa ishu[emoji3]
inauma sanaInasemekana Dada anaumia zaidi jinsi alivyo banduliwa na dude kubwa alafu anakopwa that's is lol
Naunga mkono hoja mkuu. Millard Ayo anyamaze tu(silence is the best answer)Yuko peace balaaa..akinyamaza ntamkubari saaana...
Exactly..hamna asiepiga hizi mechi...Naunga mkono hoja mkuu. Millard Ayo anyamaze tu(silence is the best answer)
Ndo heshima ya mwanaume. Si unaona mdada kaisifia gemu mwanzo mwisho[emoji3] [emoji23]Exactly..hamna asiepiga hizi mechi...
ndo bahati yakeNdo heshima ya mwanaume. Si unaona mdada kaisifia gemu mwanzo mwisho[emoji3] [emoji23]
Kuhusu pesa mwenyewe si umeona ugumu wa kuipata siku hz..mambo hayajakaa sawa atalipwa tu[emoji3] [emoji23]ndo bahati yake