chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Kwa hiyo uongo kuwa ana dushe kama ya punda? Mpe uone utajua kweli au uzushiSio kweli wanamsingizia.
Akili yako iko huko tu?....Umesoma story yote lakini hapo tu ndo unadhani watu wanapaongelea, labda kama hujanisoma vizuri STORY NZIMA WANAMSINGIZIA SI KWELI, wanataka kumchafuta tu.Kwa hiyo uongo kuwa ana dushe kama ya punda? Mpe uone utajua kweli au uzushi
Yule kijana anajielewa hata kama ameamua kufanya huo uchafu basi kwak utumia akili, huyo demu na atume picha basi kama kweli...WANAMCHAFUA TU.Umejuaje kama wanamsingizia[emoji125] [emoji125]
Unamtaka wewe... ahahahahahaaaKupatwa kwa miladayo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We dada ni mara yako ya kwanza kutapeliwa? mbona wengine huwaweki wazi? na kwa nini mnadai hela wakati wanaume ndo wanatumia nguvu nyie mnakinga tu?
tiGo ilisalimika kweli...?!
anajiheshimu nini ? kwaiyo hato...mi au unampa wewe acha kutetea mambo ya sirini mwa mtuMillard anajiheshimu sana, hawezi kufanya huu uchafu. najiuliza lengo hasa ni nini kumchafua Millard.
alafu account ya huyo dada ni kama haipo tena hewani!
ahahaaa dar kuna mambo
heee kumbe nae ni james delicious?Millard mjanja sana,baada ya kusemekana anagawa 0712 kaona isiwe tabu atengeneze story itakayotuaminisha kua yuko vizurihahahaha.