Millard Ayo achafuliwa Instagram

Millard Ayo achafuliwa Instagram

Kwa hiyo uongo kuwa ana dushe kama ya punda? Mpe uone utajua kweli au uzushi
Akili yako iko huko tu?....Umesoma story yote lakini hapo tu ndo unadhani watu wanapaongelea, labda kama hujanisoma vizuri STORY NZIMA WANAMSINGIZIA SI KWELI, wanataka kumchafuta tu.
 
Isije ikawa mipango ovu ya Lebaharia ili kutoa traffic millardayo.com kwenda blog ya wananchi maana Lebaharia ni degree tatu zile?
 
Millard anajiheshimu sana, hawezi kufanya huu uchafu. najiuliza lengo hasa ni nini kumchafua Millard.
alafu account ya huyo dada ni kama haipo tena hewani!
 
1474883357533.png
 
We dada ni mara yako ya kwanza kutapeliwa? mbona wengine huwaweki wazi? na kwa nini mnadai hela wakati wanaume ndo wanatumia nguvu nyie mnakinga tu?
 
We dada ni mara yako ya kwanza kutapeliwa? mbona wengine huwaweki wazi? na kwa nini mnadai hela wakati wanaume ndo wanatumia nguvu nyie mnakinga tu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Millard anajiheshimu sana, hawezi kufanya huu uchafu. najiuliza lengo hasa ni nini kumchafua Millard.
alafu account ya huyo dada ni kama haipo tena hewani!
anajiheshimu nini ? kwaiyo hato...mi au unampa wewe acha kutetea mambo ya sirini mwa mtu
 
Back
Top Bottom