Millard Ayo achafuliwa Instagram

Watoto wa morogoro watata sana.sitaki kukumbuka kilichotaka kunitokea Bahati nzuri busara na Hekma zikatumika lasivyo ningeaibika mtu mzima.
 
Uongo ? ............. uongo? ............uongo? yaaani daah jamaaa anatiririka then ili kupata ushahidi anamalizia na Uongo?
 
Nadhani lile jiwe la Uwema Sepeto, alilomrushia mnyama Tid,limewapata wengi,huo ujumbe i doubt kama sio aliyetajwa ndio anajipa kick ya kuwa ana mzigo mkubwa.
 
kweli binamu

mi nakubali kabisa kafanya hawa watu wapole wamalaya sana hawa
 
Nakuelewa sana kwanza wakifika wanataka washobokewe sana!

wanajiona ndo babu kubwa!

Kuna mmoja alikuja mkoa Fulani akataka supu yule mhudumu akasema mpelekeeni supu yule pale akachuki!.

Alitaka atajwe jina ili watu wajue uwepo wake!
 
watu wanalilia kugawa nyapu bure kwa Millard, sasa wewe umepewe buku 10 unalalamika nini. Mimi watu kama hawa wasio na shukrani ndo waga nawasokomezea dildo sitakagi ujinga mimi
 
Nakuelewa sana kwanza wakifika wanataka washobokewe sana!

wanajiona ndo babu kubwa!

Kuna mmoja alikuja mkoa Fulani akataka supu yule mhudumu akasema mpelekeeni supu yule pale akachuki!.

Alitaka atajwe jina ili watu wajue uwepo wake!
Mi nawajua hawa! Kuna mmoja alinichunia mwaka mzima hadi siku amenikuta kitengoni akawa hana namna! KISA?Huwezi hata amini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…