Millard Ayo achafuliwa Instagram

Millard Ayo achafuliwa Instagram

Mi nawajua hawa! Kuna mmoja alinichunia mwaka mzima hadi siku amenikuta kitengoni akawa hana namna! KISA?Huwezi hata amini...
Mi wasanii hawa hata hawasingiziwi wala kuchafuliwa95%huyo Dada yuko sahihi!

Yaani wabongo tunadouble standards sana!!

Tunahukumu watu kwa macho!!au physically appearance!!
 
Sasa Mungu atakulipa nini kwa huo uzinzi ulofanya???hebu wacheni muchezo na Sir nyie watu,kha!!!
 
Mi wasanii hawa hata hawasingiziwi wala kuchafuliwa95%huyo Dada yuko sahihi!

Yaani wabongo tunadouble standards sana!!

Tunahukumu watu kwa macho!!au physically appearance!!
Siku hizi akina sie ukijaribu kupigania maslahi yako dhidi ya super celebrity watu wanakuambia unatafuta kiki...
 

Na kweli dada. Wanavamia bila kuuliza, weye ushamalizana naye?? Au nawe umemwachia mungu?? Jamani hawa miungu wanaoitwa hata kwenye kurushana papuchi mbona hatareee!! Dada hajauona muhogo ka huo, mpaka akaamua kutoa kwa credit. Dah!
 
Hiyo cha ten mbona inatosha kabisa kwa usawa huu wa magu. Ukienda ambiance, sugaray temeke bei ineshuka hatari.
 
Hawa celebrity walikua moshi juzi wakaja bar moja na ma kuwadi wao hao ma kuwadi wakawashobokea akina manka aisee yaliangushwa matusi sasa nikuhusianisha na hii habari
[emoji53][emoji53]
 
Aisee! Instagram community! Lakini kwanini tunamuona huyo dada muongo? Kwamba Millard Ayo hawezi kupiga mechi za mchangani; au?! Mechi hizi hizi ambazo zinapigwa na Masheikh, Maaskofu, Mawaziri na wengine kibao zionekane haiwezekani kwa Millard? Au hawezi kutoa advance kisha akaingia mitini?!
Mmmmmh inawezekana
 
Usichokijua Ni Sawa Na Usiku Wa Giza.
Mficha Maradhi Kifo Humuumbua.
 
Mtajuana wenyewe wakati anakutongoza hukutangaza.. utoombw.ee uko utuleteee ushenz huku. Pita ivi
 
Back
Top Bottom