madeinmusoma
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 324
- 387
ha ha ndondo kapuJamaa anatuabisha sana unakopaje k aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ndondo kapuJamaa anatuabisha sana unakopaje k aisee
Huyu atakuwa katumwa au anatafuta umaarufu mbuzi.Duh! Noma sanaView attachment 407312
Mdada wa watu kajituma na kujitutumua akijua atavuta mpunga wa nguvu kutoka kwa Super Star kumbe walewaleeee, wanakula bila kulipa! Alijua hii ndio fursa pekee ya kuonyesha ufundi na manjonjo ili asafishe nyota, kumbe Imooooooooooooooooo. Ahaa, Bwana Mdogo lipia show ya watu hata kama ilifanyika kwenye hoteli ya nyota tano.Hahahaha dah na upole wa huyu jamaa ,papuchi halipiii ? Nenda kalipie bana service uliyopewa ,pamoja na mzigo unaosifiwa nao ila inaonekana hujui kutumia ungejua kutumia wala huyu dada asingekudai
Ulibabaika na jina, shughuli mtoto wa kike ndo hiyo.Watajiju
Hivi,Mungu anakuona ndo ishakuw kama maneno mapya?Mana kila mtu sasa...oh Mungu anakuonadada kwa uongo mungu anakuona
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Imoooooooooooo mtu wangu wa nguvu
Kwanini mkuu?Nashawishika kuamini hii habari kwa asilimia 100%.
Ututumie screenshot ya chatsYule kijana anajielewa hata kama ameamua kufanya huo uchafu basi kwak utumia akili, huyo demu na atume picha basi kama kweli...WANAMCHAFUA TU.
mungu anakuona mkuuHivi,Mungu anakuona ndo ishakuw kama maneno mapya?Mana kila mtu sasa...oh Mungu anakuona
Sio kweli wanamsingizia.