Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Kuna tetesi mjini kuwa Millard Ayo ameamua kufunga ndoa kimyakimya bila kelele wala nini. Na kuna mdau amenambia Millard kwasasa hata hasikiki kwenye kipindi chake cha Amplifaya, pengine kuna ukweli, unampa neno gani Millard?