Millard Ayo anawafanya nini Watangazaji wenzake wa Kike, mbona wanacheka sana?

Millard Ayo anawafanya nini Watangazaji wenzake wa Kike, mbona wanacheka sana?

bahati93

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
1,334
Reaction score
2,463
Mtangazaji wa Clouds, Milard Ayo sijui anawafanya nini co-presenter wake wa kike.

Ukianza na Meena Ally na sasa kwa Frida Amani wanacheka sana sijui kisa nini.

Kitu kidogo tu akiongea utakutaa wanakamuaa kichekoo mpaka huruma. Mamlaka ziingilie kati.
 
Mtangazaji wa cloud Milard Ayo sijui anawafanya nini co presenter wake wa kike. Ukianza na Meena Ally na sasa kwa Frida Amani wanacheka sana sijui kisa nini. Kitu kidogo tu akiongea utakutaa wanakamuaa kichekoo mpaka huruma. Mamlaka ziingilie kati.
Mamlaka hizo zina Mamlaka gani ya kudhibiti nyege za mtu?
 
Mtangazaji wa cloud Milard Ayo sijui anawafanya nini co presenter wake wa kike. Ukianza na Meena Ally na sasa kwa Frida Amani wanacheka sana sijui kisa nini. Kitu kidogo tu akiongea utakutaa wanakamuaa kichekoo mpaka huruma. Mamlaka ziingilie kati.
Ndugu, kama ulikuwa hujui. Huyo dogo Millard Ayo, ni miongoni mwa madogo wenye fedha nyingi hapa bongo, hao mademu wanalijua hilo. Kalaghabaho!
 
20220920_185743.jpg
 
Hali inatisha sana jana, Frida Amani kacheka hadi kaingia chini ya meza. Embu fikiri frida ni mgumu yule, anaimba Hip hop sasa kama yeye kaingia kichwa chini ya meza. Manzi laini watafanya nini.
Tutafute hela tu bro. Hakuna jinsi
 
Huna hela, ukiwa na hela hata ukijamba watacheeeka
 
Back
Top Bottom