Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Yeah! Ni kweli hazilipi kivile na zipo nyingi, lakini kufanikiwa ni akili ya mtu tu hata kama hauingizi pesa nyingi, ni namna unavyoitumia hiyo kidogo unayopata.Uwekezaji wake umejikita kwenye nini hasa mkuu?
Au ndo online tv? Maana kama ni online tv zipo nyingi mno na hazilipi kivile.
Huyu anapata matangazo mengi kwenye hiyo online tv yake, japo sijui kiundani zaidi kuhusu vyanzo vingine vya mapato yake, Lakini taarifa za kuaminika kabisa pesa ya kutosha anayo, walau ukilinganisha wa wengine kwenye tasnia hiyo.