Gifted
JF-Expert Member
- Feb 24, 2017
- 476
- 852
Kutoka maktaba ,miaka 6 iliyopita.
Vijana wa hovyo katika ubora wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutoka maktaba ,miaka 6 iliyopita.
Nasikia ile CMG ana miliki 45% ya hisa.
Huyu jamaa atakua anaota yani anataka kumfananisha kusaga na MillardHizo hisa kazinunua lini wakati millard kaajiriwa na clouds ikiwa imeshasimama tayari. Kabla ya millard kuja clouds tayari Clouds ilikuwa na uwezo mkubwa mpaka inamleta 50 cent inamlipa. Clouds inamleta Ja rule inamlipa.
Millard ayo ni mtoto mdogo sana kwa clouds kama clouds
Duh 😂 hivi umemaanisha au unatania?Nasikia ile CMG ana miliki 45% ya hisa.
Boss akiongea lazima ufurahi kwa nguvu ili na yeye afurahie...hata akijamba unapaswa kumpa pole huku ukimuhurumia.Mtangazaji wa Clouds, Milard Ayo sijui anawafanya nini co-presenter wake wa kike.
Ukianza na Meena Ally na sasa kwa Frida Amani wanacheka sana sijui kisa nini.
Kitu kidogo tu akiongea utakutaa wanakamuaa kichekoo mpaka huruma. Mamlaka ziingilie kati.
Acha wivu tafuta helaHali inatisha sana jana, Frida Amani kacheka hadi kaingia chini ya meza. Embu fikiri frida ni mgumu yule, anaimba Hip hop sasa kama yeye kaingia kichwa chini ya meza. Manzi laini watafanya nini.
Hadi James delicious kalikeKutoka maktaba ,miaka 6 iliyopita.
Licha ya kucheka watapigana na kung'ang'ania kusema ni wao wamejamba kulinda heshima yakoHuna hela, ukiwa na hela hata ukijamba watacheeeka
Fact.Hizo hisa kazinunua lini wakati millard kaajiriwa na clouds ikiwa imeshasimama tayari. Kabla ya millard kuja clouds tayari Clouds ilikuwa na uwezo mkubwa mpaka inamleta 50 cent inamlipa. Clouds inamleta Ja rule inamlipa.
Millard ayo ni mtoto mdogo sana kwa clouds kama clouds
Uwekezaji wake umejikita kwenye nini hasa mkuu?Ndugu, kama ulikuwa hujui. Huyo dogo Millard Ayo, ni miongoni mwa madogo wenye fedha nyingi hapa bongo, hao mademu wanalijua hilo. Kalaghabaho!