Mamlaka hizo zina Mamlaka gani ya kudhibiti nyege za mtu?Mtangazaji wa cloud Milard Ayo sijui anawafanya nini co presenter wake wa kike. Ukianza na Meena Ally na sasa kwa Frida Amani wanacheka sana sijui kisa nini. Kitu kidogo tu akiongea utakutaa wanakamuaa kichekoo mpaka huruma. Mamlaka ziingilie kati.
Ndugu, kama ulikuwa hujui. Huyo dogo Millard Ayo, ni miongoni mwa madogo wenye fedha nyingi hapa bongo, hao mademu wanalijua hilo. Kalaghabaho!Mtangazaji wa cloud Milard Ayo sijui anawafanya nini co presenter wake wa kike. Ukianza na Meena Ally na sasa kwa Frida Amani wanacheka sana sijui kisa nini. Kitu kidogo tu akiongea utakutaa wanakamuaa kichekoo mpaka huruma. Mamlaka ziingilie kati.
Yeah! Wewe unaelewa.Tafuta pesa.
Ukiwa nazo watajichekesha tu wenyewe hata kama jambo unalozungumza halichekeshi
Mamlaka ziingilie kati.[emoji3064][emoji848][emoji2]Mtangazaji wa cloud Milard Ayo sijui anawafanya nini co presenter wake wa kike. Ukianza na Meena Ally na sasa kwa Frida Amani wanacheka sana sijui kisa nini. Kitu kidogo tu akiongea utakutaa wanakamuaa kichekoo mpaka huruma. Mamlaka ziingilie kati.
Tutafute hela tu bro. Hakuna jinsiHali inatisha sana jana, Frida Amani kacheka hadi kaingia chini ya meza. Embu fikiri frida ni mgumu yule, anaimba Hip hop sasa kama yeye kaingia kichwa chini ya meza. Manzi laini watafanya nini.
Nasikia ile CMG ana miliki 45% ya hisa.Ndugu, kama ulikuwa hujui. Huyo dogo Millard Ayo, ni miongoni mwa madogo wenye fedha nyingi hapa bongo, hao mademu wanalijua hilo. Kalaghabaho!