Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Yeah! Ni kweli hazilipi kivile na zipo nyingi, lakini kufanikiwa ni akili ya mtu tu hata kama hauingizi pesa nyingi, ni namna unavyoitumia hiyo kidogo unayopata.Uwekezaji wake umejikita kwenye nini hasa mkuu?
Au ndo online tv? Maana kama ni online tv zipo nyingi mno na hazilipi kivile.
Yeah, kuna ukweli.Nasikia ile CMG ana miliki 45% ya hisa.
Licha ya kucheka watapigana na kung'ang'ania kusema ni wao wamejamba kulinda heshima yako
Kusaga mwenyewe (Joe) naye ni shareholder tu katika kampuni ya familia. Kwab hiyo usimpe sana huo ukubwa unaojaribu kuuonesha.Huyu jamaa atakua anaota yani anataka kumfananisha kusaga na Millard
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hiv anajua bei ya tangazo moja pale clouds ambalo halizid hata DK 1??
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Inawezekana kazinunua hata mwaka jana. Kwani haiwezekani!? Yeye kaajiriwa hapo, kapata pesa kupitia vyanzo vyake (labda nje ya tasnia), kaongea na baadhi ya shareholder wa hiyo kampuni, wameuza hisa zao. Tatizo liko wapi!? Si makubaliano tu!Hizo hisa kazinunua lini wakati millard kaajiriwa na clouds ikiwa imeshasimama tayari. Kabla ya millard kuja clouds tayari Clouds ilikuwa na uwezo mkubwa mpaka inamleta 50 cent inamlipa. Clouds inamleta Ja rule inamlipa.
Millard ayo ni mtoto mdogo sana kwa clouds kama clouds
HahahaWivu tu. Peleka mkeo atakuja pia na kicheko
Millard Ayo Ana ushawishi mkubwa na pia Ana hela za kutosha.Wanawake wanamuelewa Sana.
Inawezekana kazinunua hata mwaka jana. Kwani haiwezekani!? Yeye kaajiriwa hapo, kapata pesa kupitia vyanzo vyake (labda nje ya tasnia), kaongea na baadhi ya shareholder wa hiyo kampuni, wameuza hisa zao. Tatizo liko wapi!? Si makubaliano tu!
πππ"Uzi tayari"