Millard Ayo apata zali la uripota DSTV

Mradi ni dstv, hataa kama anaenda kuwa mshikaa spana kwa sasa. Bado mtoto mdogo sana, ana nafasi ya kukua ndani ya kampuni ya dstv.
(Ila asikue akashindwa kutosha kwenye tv zetu)

Well said....,.
 
kila lakheri dogo, kaza buti wenzetu hawaendekezi uzembe wa kibongobongo!
 
Mradi ni dstv, hataa kama anaenda kuwa mshikaa spana kwa sasa. Bado mtoto mdogo sana, ana nafasi ya kukua ndani ya kampuni ya dstv.
(Ila asikue akashindwa kutosha kwenye tv zetu)

Kongosho una akili sana wewe.
 
Last edited by a moderator:
I love the Boy, he is very Creative and hardworking! Keep it up Ayo!
 
kila la kheri mtu wangu wa nguvu.
 
hongera ma home boy DSTV kwa south pako poa evn ma yf yupo pale atapata vrand vya kuendesha maisha mjini take kea na totoz za kzulu home boy...wabongo achen chuk mpen dogo bg up mambo ya lugha yanahuska vp..mpaka dogo anaitwa ameshampga interview na jamaa wameshamspy vya kutosha so tuache chuki bongo's
 
Watanzania Tuna roho mbaya sana saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana mpka kero watu humu ndani ni kuponda, mara pagumu pale, mara hajui kidhungu, jamani mara anafanya kazi dstv upande gani sasa kila kitu anatakiwa awaambie mara mwingine analipwa sh ngapi jamani??? mnakatisha sana watu tamaa sijui watu tukoje dah! Kwani DSTV walikurupuka kumchukua hawakuangalia hivyo vigezo? muombeeni kijana wa watu akafanye kazi
 
hata mimi sielewi kitu, hivyo nasongesha zangu
 
Hongera sana dogo. Wewe umefungua njia na wengine watafuata. Ukiharibu ujue umeharibia wabongo na ukifanya vizuri basi umesafisha njia kwa wabongo. Tutakumiss sana kwenye amplifier.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…