Ragnar Fluke
JF-Expert Member
- May 22, 2012
- 374
- 116
Mradi ni dstv, hataa kama anaenda kuwa mshikaa spana kwa sasa. Bado mtoto mdogo sana, ana nafasi ya kukua ndani ya kampuni ya dstv.
(Ila asikue akashindwa kutosha kwenye tv zetu)
Well said....,.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mradi ni dstv, hataa kama anaenda kuwa mshikaa spana kwa sasa. Bado mtoto mdogo sana, ana nafasi ya kukua ndani ya kampuni ya dstv.
(Ila asikue akashindwa kutosha kwenye tv zetu)
amesoma shule moja ya Kata inaitwa Akheri huko Meru, so sijui kama ung'eng'e unapanda
so ukisoma shule ya kata ndo inakuwaje? Hongera wewe ujuaye sasa mbona hatukujui Tz na kizungu chako????
aaaah hawezi kutangaza anajisumbua tu pagumu pale eeeeh mi si napajua pale
so ukisoma shule ya kata ndo inakuwaje? Hongera wewe ujuaye sasa mbona hatukujui Tz na kizungu chako????
Haijalishi.amesoma shule moja ya Kata inaitwa Akheri huko Meru, so sijui kama ung'eng'e unapanda
Hata mimi nashangaa, ni kama kusema kawa ripota wa startimes au digitek. Sijamuelewa
Revocatus Kashaga likes this!