Safi sana ccm inajivunia kuwa na vijana kama hawa
Wewe huna mdomo...lol!!Jf watu mna midomo!
Wewe huna mdomo...lol!!
aaaah hawezi kutangaza anajisumbua tu pagumu pale eeeeh mi si napajua pale
utakuwa unavuta majani hii si bure!
utakuwa unavuta majani hii si bure!
mwaya ni mtangazaji wa redio fulani hapa TZ inaitwa clouds FM