Millard Ayo apata zali la uripota DSTV

Millard Ayo apata zali la uripota DSTV

wenye
wivu
mjinyonge
na
leo
kapata
shavu
lingine
lakutangaza
EBSS,mtasonyaje!
 
Bora uachane na redio ya mashoga kweni nlikua nakusikitikia sana kama cku mmoja ungekuja kuwa mropokaji kama mpuuzi kibonde
 
Acheni roho mbaya kwan kusoma shule ya kata ndo lugha haipandi? Millard yuko njema alimaliza mbele yangu o level hiyo hiyo shule ya kata but guess tuko level zingine sana kuliko hata hao waliosoma the so called seminary and the like
 
Ila jamani tusiwe wa kuponda kila kitu! Tupeni HONGERA MILARD KWA MAFANIKIO ALIYOYAFIKIA!kwani ni moja kuitangaza tanzania yetu,!
 
mshikaji yupo safi ni mbunifu....hafananii ile mijamaa mingine ya clouds
 
Jamaa yupo vizuri anajuwa nini anafanya katika kazi yake

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom