Millard Ayo: Bilionea mstaarabu

Angekuwa mtu wa totoz tungekuwa tushampoteza kwenye tasnia
 
Kwahiyo kwa akili zako za kawaida tu, CMG amekubali Ayo awe anatangaza Social platforms zake kupitia kipindi kinachorushwa na kumilikiwa na CMG bila mkataba? Yaani bure bure tu? Hivi bila Amplifier ya Clouds we hata ungejua kwamba kuna account IG inaitwa Millard Ayo? Au kuna Accout YT inaitwa AyoTV? CMG ni wajinga kiasi hicho?!
 
5M USD ni zaidi ya 10B za Kitanzania! Anashindwa nini kuanzisha Radio Station yake?? Ili awe free zaidi na kufanya kazi zake yeye mwenyewe?? Kipindi kama amplifier anachofanya pale Cloud's akihamishie kwenye Radio yake na apige pesa nyingi zaidi??

Akijibu hili please let me know!
 
5M USD ni zaidi ya 10B za Kitanzania! Anashindwa nini kuanzisha Radio Station yake?? Ili awe free zaidi na kufanya kazi zake yeye mwenyewe?? Kipindi kama amplifier anachofanya pale Cloud's akihamishie kwenye Radio yake na apige pesa nyingi zaidi??
Mkuu naomba nikujibu kidogo kwenye hili. Umeona Clouds FM walivyoanzisha TV ilivyoshindwa kufanya vzr kama inavyofanya radio? Umeona Jinsi ambavyo Wasafi wanafanya vizuri kwenye Mitandao Mfano YouTube kuliko hata Radio yao na TV?

Millard anafanya vizuri kwenye Mitandao, kwa hiyo anaweza kufungua Radio na asifanye vzr upande huo. Millard amechagua kusimamia kwenye upande ambao tayari anafanya vzr.

Kuhusu kuwa na hizo Pesa ni kweli, nakumbuka Marehemu aliwahi kuniambia kuwa Jamaa ana pesa tena inawezekana kuwa ni zaidi ya hizo.
 
5M USD ni zaidi ya 10B za Kitanzania! Anashindwa nini kuanzisha Radio Station yake?? Ili awe free zaidi na kufanya kazi zake yeye mwenyewe?? Kipindi kama amplifier anachofanya pale Cloud's akihamishie kwenye Radio yake na apige pesa nyingi zaidi??

Nawe unaamini anamiliki hizo hela? Tumeingizwa chaka
 
Kivipi social network ziwe mali ya clouds?
Amplifier ni ya clouds
Youtube labda inawezekana sina uhakika kwa ufahamu, lakini hapo kwenye twitter ig na fb naomba nifahamishe
 
Kitu kimoja ambacho nimekiona mara nyingi ni humbleness. Jamaa mtu mmoja poa sana, hana hata chembe ya dharau; ana maisha simple sana.... ndio maana hakuna hata skandali utasikia ya Millard
 
5M USD ni zaidi ya 10B za Kitanzania! Anashindwa nini kuanzisha Radio Station yake?? Ili awe free zaidi na kufanya kazi zake yeye mwenyewe?? Kipindi kama amplifier anachofanya pale Cloud's akihamishie kwenye Radio yake na apige pesa nyingi zaidi??
Some people work best as employees
Akianzisha chake kamili kinaweza kufa

kikubwa hela
Afterall ukute anapenda sana kipindi chake cha amplifier
 
Umewaza vizuri lakini kipindi hicho ni chake mwenyewe!!...kuna watu wanavipindi kwenye radio na TV nyingi!!.. Nadhani hii inalipa zaidi kuliko kuwa na media house yako mwenyewe!!..
Ni kweli watu pale wanafata millard +clouds
 
5M USD ni zaidi ya 10B za Kitanzania! Anashindwa nini kuanzisha Radio Station yake?? Ili awe free zaidi na kufanya kazi zake yeye mwenyewe?? Kipindi kama amplifier anachofanya pale Cloud's akihamishie kwenye Radio yake na apige pesa nyingi zaidi??
Ana uwezo wakuanzisha radio yake kabisaaa coz anastudio kubwa ambayo ina radio na vifaa vyoote, but mbona alihojiwa akasema bado anadeni na clouds yaani akimaanisha kumlipa fadhira joe , bila hivyo kitamboo mbona angefungua yake
 
Akianzisha kituo chake atafiliska maana itambidi mkwanja wote aweke kwenye kituo.
Hapo maisha yataanza upya itambidi hata aajiriwe na Misago
 
Nacho elewa huyu jamaa yuko poa sana, niliwahi piga nae story jamaa hana dharau kabisa. Hana ile ya kujiona supa staa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…