Millard Ayo: Bilionea mstaarabu

Millard Ayo: Bilionea mstaarabu

One of the richest bloggers in Africa Forbes ilinukuu.

Ukimuona simple tu wa kawaida lakini ana hela ndeefuuu na nyingi sana.

Utajiri wake unakadiriwa 3-5 Millions US dollars. Vyanzo vingine vya uhakika na kuaminika vinadai anaweza kuwa na utajiri hata zaidi ya iyo dollar million 5.

Ni kwa kujituma kwa Millard na weledi alionao umemfikisha hapa alipo. Ana mchango mkubwa kwenye taifa kwa kutoa ajira hasa kwa vijana na kulipa kodi.

Ubunifu wake na kujituma kwake imepelekea makampuni mengi kung'ang'ania kwenye blog yake kwa ajili ya matangazo.

Pia amewainspire mablogger wengine ambao wana chipuka kwa kasi ya hatarii kama role models models wao.

Tunamtakia heri na azidi kuendelea kuwa na mafanikio zaidi.
Angekuwa mtu wa totoz tungekuwa tushampoteza kwenye tasnia
 
Si simple kama usemavyo....clouds ni mwajiri tu ni Millard ni mwajiriwa. Mwajiri ata own any innovation made by an employee while in the course of employment.
Jina la Millars Ayo, Accounts zake za social media haziwezi kuwa mali ya CMG unless kama waliingia makubaliano ya ku run hizo platforms...clouds wakatia mzigo jamaa akaprovide work na content.
Kwahiyo kwa akili zako za kawaida tu, CMG amekubali Ayo awe anatangaza Social platforms zake kupitia kipindi kinachorushwa na kumilikiwa na CMG bila mkataba? Yaani bure bure tu? Hivi bila Amplifier ya Clouds we hata ungejua kwamba kuna account IG inaitwa Millard Ayo? Au kuna Accout YT inaitwa AyoTV? CMG ni wajinga kiasi hicho?!
 
5M USD ni zaidi ya 10B za Kitanzania! Anashindwa nini kuanzisha Radio Station yake?? Ili awe free zaidi na kufanya kazi zake yeye mwenyewe?? Kipindi kama amplifier anachofanya pale Cloud's akihamishie kwenye Radio yake na apige pesa nyingi zaidi??

Akijibu hili please let me know!
 
5M USD ni zaidi ya 10B za Kitanzania! Anashindwa nini kuanzisha Radio Station yake?? Ili awe free zaidi na kufanya kazi zake yeye mwenyewe?? Kipindi kama amplifier anachofanya pale Cloud's akihamishie kwenye Radio yake na apige pesa nyingi zaidi??
Mkuu naomba nikujibu kidogo kwenye hili. Umeona Clouds FM walivyoanzisha TV ilivyoshindwa kufanya vzr kama inavyofanya radio? Umeona Jinsi ambavyo Wasafi wanafanya vizuri kwenye Mitandao Mfano YouTube kuliko hata Radio yao na TV?

Millard anafanya vizuri kwenye Mitandao, kwa hiyo anaweza kufungua Radio na asifanye vzr upande huo. Millard amechagua kusimamia kwenye upande ambao tayari anafanya vzr.

Kuhusu kuwa na hizo Pesa ni kweli, nakumbuka Marehemu aliwahi kuniambia kuwa Jamaa ana pesa tena inawezekana kuwa ni zaidi ya hizo.
 
5M USD ni zaidi ya 10B za Kitanzania! Anashindwa nini kuanzisha Radio Station yake?? Ili awe free zaidi na kufanya kazi zake yeye mwenyewe?? Kipindi kama amplifier anachofanya pale Cloud's akihamishie kwenye Radio yake na apige pesa nyingi zaidi??

Nawe unaamini anamiliki hizo hela? Tumeingizwa chaka
 
AkihamamClouds basi tambua Social accounts zake zote (Youtube, Facebook, Instagram, twitter nk.) zote zinabaki kuwa mali ya Clouds Media Group) , hata hilo jina la Millard Ayo ni mali ya CMG, hata hilo jina la Amplifier ni la CMG. Sasa akitaka kuhama navyo watamwambia alipe dola milion 5 kwa mfano, atabako na nini sasa?
Kivipi social network ziwe mali ya clouds?
Amplifier ni ya clouds
Youtube labda inawezekana sina uhakika kwa ufahamu, lakini hapo kwenye twitter ig na fb naomba nifahamishe
 
Kitu kimoja ambacho nimekiona mara nyingi ni humbleness. Jamaa mtu mmoja poa sana, hana hata chembe ya dharau; ana maisha simple sana.... ndio maana hakuna hata skandali utasikia ya Millard
 
5M USD ni zaidi ya 10B za Kitanzania! Anashindwa nini kuanzisha Radio Station yake?? Ili awe free zaidi na kufanya kazi zake yeye mwenyewe?? Kipindi kama amplifier anachofanya pale Cloud's akihamishie kwenye Radio yake na apige pesa nyingi zaidi??
Some people work best as employees
Akianzisha chake kamili kinaweza kufa

kikubwa hela
Afterall ukute anapenda sana kipindi chake cha amplifier
 
Umewaza vizuri lakini kipindi hicho ni chake mwenyewe!!...kuna watu wanavipindi kwenye radio na TV nyingi!!.. Nadhani hii inalipa zaidi kuliko kuwa na media house yako mwenyewe!!..
Ni kweli watu pale wanafata millard +clouds
 
5M USD ni zaidi ya 10B za Kitanzania! Anashindwa nini kuanzisha Radio Station yake?? Ili awe free zaidi na kufanya kazi zake yeye mwenyewe?? Kipindi kama amplifier anachofanya pale Cloud's akihamishie kwenye Radio yake na apige pesa nyingi zaidi??
Ana uwezo wakuanzisha radio yake kabisaaa coz anastudio kubwa ambayo ina radio na vifaa vyoote, but mbona alihojiwa akasema bado anadeni na clouds yaani akimaanisha kumlipa fadhira joe , bila hivyo kitamboo mbona angefungua yake
 
Yes, najua hicho kitu! But swali langu bado liko pale pale,mtu kama yeye anashindwa vipi kua na Radio Station yake,binafisi ili aweze kupiga pesa zaidi?? Maana ana madili kibao ya ubalozi wa bidhaa kama Azania,Afya water,Asasi na sasa hivi anatangaza jengo la mikocheni palm village! Hizi deal zote si angeziweka kwenye matangazo ya Radio yake, angepiga mpunga zaidi!
Akianzisha kituo chake atafiliska maana itambidi mkwanja wote aweke kwenye kituo.
Hapo maisha yataanza upya itambidi hata aajiriwe na Misago
 
Nacho elewa huyu jamaa yuko poa sana, niliwahi piga nae story jamaa hana dharau kabisa. Hana ile ya kujiona supa staa
 
Back
Top Bottom