establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,632
- 2,435
Hv Juma nature na inspekta harun wapo wapi? This life aseeIla kijana ametoka mbali sana kutokea radio wapo fm hadi alipo sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hv Juma nature na inspekta harun wapo wapi? This life aseeIla kijana ametoka mbali sana kutokea radio wapo fm hadi alipo sasa.
Angekuwa mtu wa totoz tungekuwa tushampoteza kwenye tasniaOne of the richest bloggers in Africa Forbes ilinukuu.
Ukimuona simple tu wa kawaida lakini ana hela ndeefuuu na nyingi sana.
Utajiri wake unakadiriwa 3-5 Millions US dollars. Vyanzo vingine vya uhakika na kuaminika vinadai anaweza kuwa na utajiri hata zaidi ya iyo dollar million 5.
Ni kwa kujituma kwa Millard na weledi alionao umemfikisha hapa alipo. Ana mchango mkubwa kwenye taifa kwa kutoa ajira hasa kwa vijana na kulipa kodi.
Ubunifu wake na kujituma kwake imepelekea makampuni mengi kung'ang'ania kwenye blog yake kwa ajili ya matangazo.
Pia amewainspire mablogger wengine ambao wana chipuka kwa kasi ya hatarii kama role models models wao.
Tunamtakia heri na azidi kuendelea kuwa na mafanikio zaidi.
Kwahiyo kwa akili zako za kawaida tu, CMG amekubali Ayo awe anatangaza Social platforms zake kupitia kipindi kinachorushwa na kumilikiwa na CMG bila mkataba? Yaani bure bure tu? Hivi bila Amplifier ya Clouds we hata ungejua kwamba kuna account IG inaitwa Millard Ayo? Au kuna Accout YT inaitwa AyoTV? CMG ni wajinga kiasi hicho?!Si simple kama usemavyo....clouds ni mwajiri tu ni Millard ni mwajiriwa. Mwajiri ata own any innovation made by an employee while in the course of employment.
Jina la Millars Ayo, Accounts zake za social media haziwezi kuwa mali ya CMG unless kama waliingia makubaliano ya ku run hizo platforms...clouds wakatia mzigo jamaa akaprovide work na content.
Sasa utajiri faida yake nini? Kula Serena hotel halafu basi? Mimi hapa ndio huwa pananichanganya kabisa!!!Angekuwa mtu wa totoz tungekuwa tushampoteza kwenye tasnia
Ni mtu wa totoz pia sijui siku hizi. Mwaka 2012 kama sikosei alikuwa anaishi msewe.Angekuwa mtu wa totoz tungekuwa tushampoteza kwenye tasnia
5M USD ni zaidi ya 10B za Kitanzania! Anashindwa nini kuanzisha Radio Station yake?? Ili awe free zaidi na kufanya kazi zake yeye mwenyewe?? Kipindi kama amplifier anachofanya pale Cloud's akihamishie kwenye Radio yake na apige pesa nyingi zaidi??
Mkuu naomba nikujibu kidogo kwenye hili. Umeona Clouds FM walivyoanzisha TV ilivyoshindwa kufanya vzr kama inavyofanya radio? Umeona Jinsi ambavyo Wasafi wanafanya vizuri kwenye Mitandao Mfano YouTube kuliko hata Radio yao na TV?5M USD ni zaidi ya 10B za Kitanzania! Anashindwa nini kuanzisha Radio Station yake?? Ili awe free zaidi na kufanya kazi zake yeye mwenyewe?? Kipindi kama amplifier anachofanya pale Cloud's akihamishie kwenye Radio yake na apige pesa nyingi zaidi??
5M USD ni zaidi ya 10B za Kitanzania! Anashindwa nini kuanzisha Radio Station yake?? Ili awe free zaidi na kufanya kazi zake yeye mwenyewe?? Kipindi kama amplifier anachofanya pale Cloud's akihamishie kwenye Radio yake na apige pesa nyingi zaidi??
Kivipi social network ziwe mali ya clouds?AkihamamClouds basi tambua Social accounts zake zote (Youtube, Facebook, Instagram, twitter nk.) zote zinabaki kuwa mali ya Clouds Media Group) , hata hilo jina la Millard Ayo ni mali ya CMG, hata hilo jina la Amplifier ni la CMG. Sasa akitaka kuhama navyo watamwambia alipe dola milion 5 kwa mfano, atabako na nini sasa?
Some people work best as employees5M USD ni zaidi ya 10B za Kitanzania! Anashindwa nini kuanzisha Radio Station yake?? Ili awe free zaidi na kufanya kazi zake yeye mwenyewe?? Kipindi kama amplifier anachofanya pale Cloud's akihamishie kwenye Radio yake na apige pesa nyingi zaidi??
Ni kweli watu pale wanafata millard +cloudsUmewaza vizuri lakini kipindi hicho ni chake mwenyewe!!...kuna watu wanavipindi kwenye radio na TV nyingi!!.. Nadhani hii inalipa zaidi kuliko kuwa na media house yako mwenyewe!!..
Ana uwezo wakuanzisha radio yake kabisaaa coz anastudio kubwa ambayo ina radio na vifaa vyoote, but mbona alihojiwa akasema bado anadeni na clouds yaani akimaanisha kumlipa fadhira joe , bila hivyo kitamboo mbona angefungua yake5M USD ni zaidi ya 10B za Kitanzania! Anashindwa nini kuanzisha Radio Station yake?? Ili awe free zaidi na kufanya kazi zake yeye mwenyewe?? Kipindi kama amplifier anachofanya pale Cloud's akihamishie kwenye Radio yake na apige pesa nyingi zaidi??
Akianzisha kituo chake atafiliska maana itambidi mkwanja wote aweke kwenye kituo.Yes, najua hicho kitu! But swali langu bado liko pale pale,mtu kama yeye anashindwa vipi kua na Radio Station yake,binafisi ili aweze kupiga pesa zaidi?? Maana ana madili kibao ya ubalozi wa bidhaa kama Azania,Afya water,Asasi na sasa hivi anatangaza jengo la mikocheni palm village! Hizi deal zote si angeziweka kwenye matangazo ya Radio yake, angepiga mpunga zaidi!
OkMjengo wake pale ubungo msewe kafunga mtaa