Millard Ayo: Bilionea mstaarabu

Huyo kijana anastahili.

Kwenye blog yake anafuata sana ethics za uandishi. Ni nadra sana kukuta taarifa ya uongo au uzushi.
Huwa nikitaka taarfa za uhakika..namba moja ni hapa JF, namba mbili kwa hyu dogo.
Tatizo la ayo.com ni kuchelewa kuleta taarifa, jf iko fasta sana
 
Yupo
 
wengi tulioanza blogging miaka ya 2009 tuliishia njiani lakini jamaa aliendelea kukaza hadi leo hii daah [emoji1621]
 
Ana demu[emoji2960]
 
Huyo kijana anastahili.

Kwenye blog yake anafuata sana ethics za uandishi. Ni nadra sana kukuta taarifa ya uongo au uzushi.
Huwa nikitaka taarfa za uhakika..namba moja ni hapa JF, namba mbili kwa hyu dogo.
JF Napakubali sana sana 100% kuna mambo na info huwezi kupata popote Tz hii.JF ni zaidi ya yote hayo.JF Mungu awabariki sana.
 
"Mimi ni Millard Muyenjwa Laizer Ayo..ikumbatie CloudsFm".

Millard amefanikiwa sana aisee carrierwise..
 
Akheri huko wameru walipowatahiri Wajerumani kwa nguvu na kuwaua. Ila wameru bana. Kuna siku nshupu tulikuwa na opereshen ya kusaka magovi yani tukiyapata kwanza tunayashushia mkong'oto wa maana halafu tunayatairi.
Hahaha umenikumbusha mbali watu walikimbia familia zao.
 
Huo ubillionea wenu wa kwenye magazeti ya udaku mnamponza mwenzenu atakutana na TRA ashindwe kujibu Kama mnavyomjaza mzee wa wa dabriusibii kununua rozirozi gereji huko Dubai ili aonekane billionea. Pesa inaongea yenyewe haisemwi ni kama pembe la ng'ombe
 
Tatizo Forbies wamekuwa wahuni, hivi unadhani Mmeru angekuwa na Utajiri huo angekuwa hivyo alivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…