BarajaMkush
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 1,633
- 2,975
Aliwahi nisimulia cousin yake maisha aliyopitia Millard maana wamekua wote, haya maisha heshimuni sana watu bila kujali wadhifa ama anamiliki nini sababu huijui kesho yako. Mchizi anastahili kiukweli, alikotoka ni kugumu mnooo