Millard Ayo: Bilionea mstaarabu

Millard Ayo: Bilionea mstaarabu

5M USD ni zaidi ya 10B za Kitanzania! Anashindwa nini kuanzisha Radio Station yake?? Ili awe free zaidi na kufanya kazi zake yeye mwenyewe?? Kipindi kama amplifier anachofanya pale Cloud's akihamishie kwenye Radio yake na apige pesa nyingi zaidi??
AkihamamClouds basi tambua Social accounts zake zote (Youtube, Facebook, Instagram, twitter nk.) zote zinabaki kuwa mali ya Clouds Media Group) , hata hilo jina la Millard Ayo ni mali ya CMG, hata hilo jina la Amplifier ni la CMG. Sasa akitaka kuhama navyo watamwambia alipe dola milion 5 kwa mfano, atabako na nini sasa?
 
Umewaza vizuri lakini kipindi hicho ni chake mwenyewe!!...kuna watu wanavipindi kwenye radio na TV nyingi!!.. Nadhani hii inalipa zaidi kuliko kuwa na media house yako mwenyewe!!..
 
5M USD ni zaidi ya 10B za Kitanzania! Anashindwa nini kuanzisha Radio Station yake?? Ili awe free zaidi na kufanya kazi zake yeye mwenyewe?? Kipindi kama amplifier anachofanya pale Cloud's akihamishie kwenye Radio yake na apige pesa nyingi zaidi??
Kila mtu ana eneo lake utaalam

he’s one of the best kwenye uwannda wake
 
5M USD ni zaidi ya 10B za Kitanzania! Anashindwa nini kuanzisha Radio Station yake?? Ili awe free zaidi na kufanya kazi zake yeye mwenyewe?? Kipindi kama amplifier anachofanya pale Cloud's akihamishie kwenye Radio yake na apige pesa nyingi zaidi??
Wapuuzi Sana Hawa,wanachukulia mambo simple simple
 
AkihamamClouds basi tambua Social accounts zake zote (Youtube, Facebook, Instagram, twitter nk.) zote zinabaki kuwa mali ya Clouds Media Group) , hata hilo jina la Millard Ayo ni mali ya CMG, hata hilo jina la Amplifier ni la CMG. Sasa akitaka kuhama navyo watamwambia alipe dola milion 5 kwa mfano, atabako na nini sasa?
Si simple kama usemavyo....clouds ni mwajiri tu ni Millard ni mwajiriwa. Mwajiri ata own any innovation made by an employee while in the course of employment.
Jina la Millars Ayo, Accounts zake za social media haziwezi kuwa mali ya CMG unless kama waliingia makubaliano ya ku run hizo platforms...clouds wakatia mzigo jamaa akaprovide work na content.
 
5M USD ni zaidi ya 10B za Kitanzania! Anashindwa nini kuanzisha Radio Station yake?? Ili awe free zaidi na kufanya kazi zake yeye mwenyewe?? Kipindi kama amplifier anachofanya pale Cloud's akihamishie kwenye Radio yake na apige pesa nyingi zaidi??
Sawa lakini usisahau kuwa Clouds ndiye mwenye hatimiliki ya Amplifier na sio Milard, Kuhamisha kipindi inawezekana tu kama Clouds watakubaliana naye, vinginevyo labda aje na yeye na radio na kipindi kama hicho katika Radio atakayoianzisha.
 
Back
Top Bottom