Millard ayo,hujasikai ujio wa P square?

Millard ayo,hujasikai ujio wa P square?

Status
Not open for further replies.

GMC

Member
Joined
Oct 15, 2013
Posts
38
Reaction score
20
Blog yako imekuwa ni source ya habari nyingi hasa hasa za enterinment na kujizolea umaarufu mkubwa ila cha kushangaza wanamuziki Psquare wapo nchini sijaona hata ukigusia ujio wao.Au kwa sababu wameletwa na upande wa pili sio cloudsfm.

Mnaingiliwa na uongozi wa clouds media hata kwenye blogs zenu?
 
Ni blog ya millard peke yake yenye kutoa info hizo? Acha ufyukunyuku kijana. Angeandika pia sidhani km usingemzungumzia.
 
ni ujinga Milard kufungwa uhuru wake wa habari eti kisa tu EATV..na JIDE..
Ame prove FAILURE. Punk.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom