Blog yako imekuwa ni source ya habari nyingi hasa hasa za enterinment na kujizolea umaarufu mkubwa ila cha kushangaza wanamuziki Psquare wapo nchini sijaona hata ukigusia ujio wao.Au kwa sababu wameletwa na upande wa pili sio cloudsfm.
Mnaingiliwa na uongozi wa clouds media hata kwenye blogs zenu?
Mnaingiliwa na uongozi wa clouds media hata kwenye blogs zenu?