Millard Ayo kanyooka, kutomzungumzia Diamond Platnumz ni kujipotezea pesa

Millard Ayo kanyooka, kutomzungumzia Diamond Platnumz ni kujipotezea pesa

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amebanaaaaa weeeee mwishoni kaachia.

Kachoka masikini ya Mungu kupishana na fuko la hela maana kutomzungumzia Diamond Platnumz ni kujipotezea pesa za bure maana kila habari inayomuhusu Diamond ni pesa tosha.

Ninaona leo anapost habari za Diamond kwa fujoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sijui wale vidagaa wengine sura zao wataweka wapi maana Millard ndiye aliyekuwa jeuri kushinda wote.
 
Tulia dawa ikuingie.
Dawa ipi sasa? Anzisheni web yenu muwe mnampost yeye tu kwani laptop bando ananunuliwa na WCB? yeye anafanya biashara kama hamumlipi kwanini ampost? Hata mie ningekuwa na blog ningepost habari zenye interest na mimi tu kama unataka nikupost tukae mezani umwage mpunga tufanye biashara hakuna Promo za bure.
 
USINIFOKEE
 
Back
Top Bottom